Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Maana tunapofanya mapenzi mwanamke yeye ana GAIN wakati mwanaume ana LOSE na ndiyo maana babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii.
Kijana wangu kuna zaidi ya hiyo uliyoandika hapo, mfumo wa mwili wa mwanamke una nafasi ya kujisafisha na kutoa baadhi ya uchafu hata mfumo wao wa damu una tofauti na wako.

Mwanamme ana hizo njia za mwili kujirekebisha kutokana na nature tuliyoumbiwa, hii inafanya baadhi ya takataka kubaki mwilini, ninaposema takataka ni hata stress nk.

Mwanamme kufa mapema hakusababishwi na kumwaga mbegu mapema kuna mambo mengi ikiwemo homoni yao wkt wa kujamiiana ya estrojeni humlinda na magonjwa hadi anapomaliza kuzaa.

Ila kwa sisi wanaume homoni yetu ya kama sijakosea inaitwa testerone inakuwa na nguvu na inahusishwa na hatari kubwa ya magonjwa na kubeba mambo kibao mwilini.

🔹Sorry kwa maelezo marefu!.
 
Law of Use and Disuse itakuwa applicable. The more you use the more stronger will be and vise versa. Ukiacha kutumia sehumu ya kiungo chako cha mwili icho kiungo kitakuwa dhaifu ndipo apo unakuta mtu hana tena hisia za tendo kama hafanyi mapenzi. Hali kadhalika mtu anaetumia kiungo chake cha mwili mfano mtu akicheza sana mpira miguu yake inakuwa imara sana ukicompare na mtu ambae hachezi mpira na hapigi mazoezi

Bado mkuu kama sijakupata hivi
 
Ukiachana kabisa kufanya mapenzi itafika wakati utakosa hamu ya tendo la ndoa kama ulivosema apo maana mwili unapokea unachokiaminisha. Nashauri watu wawe na kiasi kwenye kila kitu

Nimekuelewa mkuu
 
Nimefeli mara kadhaa ila kwa sasa mwendo mdundo
Screenshot_20230326_201823_Iron%20Will.jpg
 
ukimsikiliza huyu pastor af ukarudi kuangalia porn plus musterbation

wew utakuwa umelogwa mtu wangu
 
Attachments

  • Stop_Engaging_With_Demons___Masturbation_and_Pornography____Pastor_John_Anosike(144p).mp4
    9.9 MB
Day 83

From January 12 hadi jana April 6

Kiukweli hii challenge ni nzuri sana kwa afya
Faida nilizoziona ndani ya siku 83

Uwezo wa kufikiri unaongezeka
Unafanya kazi kwa concentration kubwa sana
Ngozi imekuwa angavu hadi vinyweleo vinaonekana
Hii challenge inakufanya upende mazoezi automatically
Ubunifu unaongezeka
Hii challenge imenifanya pombe niichukulie kitu cha ziada yaani hata nisipokunywa hewala toka nianze nimekunywa mara mbili tu

Yote kuliko yote chumbani,hapa mama chanja angeweza kusimulia leo mpaka sasa hajaamka
Kiukweli najisikia km kijana wa miaka 18

Changamoto
Bwana rashid kusimama bila kujali mazingira hasa akiona vivutio

Kupanik bila sababu
 
Hongera sana[emoji23] umeweza kitu wenzako tunajaribu miaka
 
ukimsikiliza huyu pastor af ukarudi kuangalia porn plus musterbation

wew utakuwa umelogwa mtu wangu
Bila nguvu ya Mungu hata umsikilize mara mia utarudi tu kwenye masturbation.Punyeto ni vita ya kiroho na vita ya kiroho haiwezi ikapiganiwa Kwa kutumia mwili.

Wakati unakazana kuacha kuangalia porn na kujiepusha na masturbation BIla kusali watakutupia mishale mingi mingi Sana ya kiroho ya tamaa na utajikuta umerudi Tena

Mungu tu ndiye anayeweza kukusaidia
 
Day 83

From January 12 hadi jana April 6

Kiukweli hii challenge ni nzuri sana kwa afya
Faida nilizoziona ndani ya siku 83

Uwezo wa kufikiri unaongezeka
Unafanya kazi kwa concentration kubwa sana
Ngozi imekuwa angavu hadi vinyweleo vinaonekana
Hii challenge inakufanya upende mazoezi automatically
Ubunifu unaongezeka
Hii challenge imenifanya pombe niichukulie kitu cha ziada yaani hata nisipokunywa hewala toka nianze nimekunywa mara mbili tu

Yote kuliko yote chumbani,hapa mama chanja angeweza kusimulia leo mpaka sasa hajaamka
Kiukweli najisikia km kijana wa miaka 18

Changamoto
Bwana rashid kusimama bila kujali mazingira hasa akiona vivutio

Kupanik bila sababu
Hongera
 
Back
Top Bottom