Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Hatimae nimefikia malengo yangu[emoji16]
Sasa ngoja niongeze siku kadhaa..
Road to 300 dys[emoji123]
View attachment 2571538

IMG_5604.png

Mkuu Naomba tufike wote 365 days = 1 year [emoji23]

Sema saivi ni SLOPE tu, mwili umezoea.
 
Beginners, INAWEZEKANA kukaaa for the rest of your life bila Ngono, Nyeto, Porno. Ni maamuzi yako tu unataka uache permanently au temporarily.

Nisiwadanganye, it’s not easy job, ups and downs zipo sana.

Ila unahitaji kuanza kujifunza MEDITATION hii ni slaa nzuri ku control mawazo na mwili wako.

Meditation imenisaidia sana kurespond pale mawazo mabaya yanapokuja Kama nyeto, porno au sex. JIFUNZE MEDITATION.

Mwisho, nipo 189 days sijawahi kufeli round hii, ila huko nyuma nilifeli sana hasa kujichua na porno lakini mwisho wa siku hakuna lisilowezekana, niamini mimi niliyekuwa failure.
 
Hii challenge ili uiweze ni lazima upractice utawa (monasticism) !! Ukae mbali na ulimwengu na malimwengu yake. Kupractice celibacy inahitaji nguvu ya Mungu hasa katika huu ulikwengu tulionao.

Vishawishi vimejaa kila kona aisee, ukivikosa kazini, utakutana navyo mtaani kwako ukivikosa mtaani utakutana navyo katika smartphone yako. Adui wa kwanza ni hizi smartphones . Mitandao ya ngono imejaa nje nje unaweza kujikuta umeamka saa 7 usiku ,usingizi umekata ukaanza kuperuzi peruzi na kujikuta umerelapse tena kwenye old habbits.

Ili kufaulu ni lazima kwanza kuukataa ulimwengu na malimwengu yake kama vile hizi simu janja ,TVs au majarida yeyote yanayohamasisha ngono. Ikowezekana ujitenge mbali na mji/jiji na pia udumu kwenye ibada hapo ndio angalau unaweza kufaulu. Nje ya hapo Shetani ataendelea kutuma wanajeshi wake tu kila kukosha kuja kurusha mikuki yao yenye sumu katika moyo wako mpaka wahakikishe unarejea katila himaya yao. Ila unapoikataa dunia na kuwa karibu na Mungu , unakuwa umeutengenezea ngome madhubuti moyo wako kutokana na vishawishi vya shetani.
 
mimi nikikaa siku 3 bila mbususu ntakuwa napata wet dreams za kufa mtu, na nina desturi ya kumwaga mbegu nyingi sana kila bao kiukweli nina kende kubwa aisee[emoji23][emoji23] ndo mana bila kunjunja miwet dreams inanitesa,hilo moja

Pili sijui nitamweleza nini wife eti nisimjunje for 3 months, kitendo cha kutangaza nofap challenge ndo ntamfanya awe ananitega mara nyingi awezavyo( kiukweli kwenye eneo la mitego nampa ‘A’) Na ATAKUWA ANASUBIRI KWA HAMU ANGUKO LANGU

labda nianze kwa siku 3 , 3 wakuu[emoji23]
 
Sio kweli Mkuu.

Ni akili yako tu jinsi ya ku control urges.
 
mimi nikikaa siku 3 bila mbususu ntakuwa napata wet dreams za kufa mtu, na nina desturi ya kumwaga mbegu nyingi sana kila bao kiukweli nina kende kubwa aisee[emoji23][emoji23] ndo mana bila kunjunja miwet dreams inanitesa,hilo moja

Pili sijui nitamweleza nini wife eti nisimjunje for 3 months, kitendo cha kutangaza nofap challenge ndo ntamfanya awe ananitega mara nyingi awezavyo( kiukweli kwenye eneo la mitego nampa ‘A’) Na ATAKUWA ANASUBIRI KWA HAMU ANGUKO LANGU

labda nianze kwa siku 3 , 3 wakuu[emoji23]
Tumesema hii haifai kwa watu wenye wake hii ni kwa vijana ambao tunajitafuta
 
Hata kwa wenye wake wanaweza kukubaliana kufanya hilo zoezi hata kwa mwezi mmoja ili kujirestore ila pande mbili lazima ziridhie toka moyoni.

Mimi niko hapa na hakuna changamoto kama watu wanavoelezea huko juu zaidi sana naona ni suala la maamuzi tu.

Unaposikia labda zimejaa uume unauma unajikanda tu na maji moto then unarudi normal.

Siachi kuendelea...
View attachment 2580749
 
Attachments

  • Screenshot_2023-04-08-12-39-44-999_com.emeraldislestudio.fapcounter.jpg
    Screenshot_2023-04-08-12-39-44-999_com.emeraldislestudio.fapcounter.jpg
    22.1 KB · Views: 22
Hamna kitu kigumu

Jitahidi kwa wiki ufanye mazoezi hata siku tatu haswa joging
Hii challenge ili uiweze ni lazima upractice utawa (monasticism) !! Ukae mbali na ulimwengu na malimwengu yake. Kupractice celibacy inahitaji nguvu ya Mungu hasa katika huu ulikwengu tulionao.

Vishawishi vimejaa kila kona aisee, ukivikosa kazini, utakutana navyo mtaani kwako ukivikosa mtaani utakutana navyo katika smartphone yako. Adui wa kwanza ni hizi smartphones . Mitandao ya ngono imejaa nje nje unaweza kujikuta umeamka saa 7 usiku ,usingizi umekata ukaanza kuperuzi peruzi na kujikuta umerelapse tena kwenye old habbits.

Ili kufaulu ni lazima kwanza kuukataa ulimwengu na malimwengu yake kama vile hizi simu janja ,TVs au majarida yeyote yanayohamasisha ngono. Ikowezekana ujitenge mbali na mji/jiji na pia udumu kwenye ibada hapo ndio angalau unaweza kufaulu. Nje ya hapo Shetani ataendelea kutuma wanajeshi wake tu kila kukosha kuja kurusha mikuki yao yenye sumu katika moyo wako mpaka wahakikishe unarejea katila himaya yao. Ila unapoikataa dunia na kuwa karibu na Mungu , unakuwa umeutengenezea ngome madhubuti moyo wako kutokana na vishawishi vya shetani.
 
Hata kwa wenye wake wanaweza kukubaliana kufanya hilo zoezi hata kwa mwezi mmoja ili kujirestore ila pande mbili lazima ziridhie toka moyoni.

Mimi niko hapa na hakuna changamoto kama watu wanavoelezea huko juu zaidi sana naona ni suala la maamuzi tu.

Unaposikia labda zimejaa uume unauma unajikanda tu na maji moto then unarudi normal.

Siachi kuendelea...
View attachment 2580749
Wooooi, you nailed it man🙌
 
Back
Top Bottom