Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimemuonyesha Haji Manara hii thread ametukana sana, anasema yeye hawezi kukaa bila kujipigia punyeto au kuangalia sinema za ngono
 
Kosa Huwa linatokea pale unapotaka ku-relapse umeona demu kakaa vibaya vibaya mashine hio inasoma 80 km/h kama [emoji590][emoji590][emoji590] la yutong ohoo

Meditation and relaxing songs ndio mpango mzima kichwa kinatulia
 
Mabadiliko vipi
Baada ya kuacha nyeto kwa 100 days(sex & porn) na kufanya vi mazoezi vya hapa na pale
--Kiukweli akili yangu imetulia tofauti na mwanzo
--Uume wangu umeimarika na kuongezeka kiasi
--Mawazo machafu mengi yamepungua kichwani mwangu(hasa baada ya kuacha kuangalia porn for 100dys)
*Mabadiliko ni mengi , hapo nimeyataja kwa uchache tu
*Kwa sasa nimeizoea hii hali , sina hamu ya kuangalia porn wala kupiga nyeto.
*Kwenye sex hapa ni pagumu kidogo hasa kama mazingira yako yana vishawishi vingi[emoji16] hivyo uvumilivu unahitajika

Mwisho:Tuendeleeni na hii challenge yetu kama ukiweza kukaa siku 10 basi unaweza kukaa hadi siku 30 , ukikaa 30dys unauwezo wa kukaa hadi 90dys na ukikaa 90dys basi jua unauwezo wa kukaa hadi utakapo.Goodluck msisahau maombi[emoji120]
 
Good experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…