Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Iron will kwa app store inaleta uzinguzi mwingi sana hakuna app mbadala ya kuhesabia siku
Tumia manhood ila sijui kama ipo playstore
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iron will kwa app store inaleta uzinguzi mwingi sana hakuna app mbadala ya kuhesabia siku
Ni kama no fap kwenye suala la kutomwaga shahawa tu lakini kwenye njia Hii unakula mzigo kama kawaida. Hii method iligunduliwa na taoist monks. Na pia ina faida nyingi kiafya. The more you dont ejaculate ndo the more unavopata health benefits. Mojawapo ni kuongeza strong erections na kudumu kwenye tendo kwa muda mrefu zaidi.Mhmh kwahiyo haya kutokea ni NoFap itakufanya hivi
Inaonesha kuna elimu kubwa sana hapo na pia kuiapply inahitaji uzoefu wa hali ya juu sana au sio..!!!?Sio ngumu. Jaribu kuelewa this concept, kufika climax ndo ile hisia tamu, kumwaga bao ndo aftermath ya hiyo hisia. Sasa hii ishu ni kwamba, unafika kilele kama kawaida lakini haumwagi. Problem ya kumwaga ni kwamba ukishamwaga ndonga inalala, kwaio huez kuendelea mpka itaposimama tena. So, with multiple orgasms, ukifika kilele usipomwaga, uume unaendelea kusoma 5G so unaendelea kupiga mashine na kupata orgasm nyingine na nyingine zaidi.
Kwa mfano mwanamke, yeye hamwagi mbegu thats why unaeza kumkaza mara moja na akapata orgasm hata 4. Lakini wanaume tumejilimit kwenye orgasm moja then unamwaga af bas tena. Tena kwa wale wa kimoja chali ndo hatari maana dk 3 tu ashamwaga kwisha shughuli yake.
Sijajua kwa appstore ila kwa playstore unainstall fasta yani dakika sifuri kitu installed... au jaribu kusearch google ili upate apk yake kama ipo.Iron will kwa app store inaleta uzinguzi mwingi sana hakuna app mbadala ya kuhesabia siku
Shukran sana mdau kwa kutusaidia hiki kitabu, ngoja nikipekue moja baada ya nyingine...Ni kama no fap kwenye suala la kutomwaga shahawa tu lakini kwenye njia Hii unakula mzigo kama kawaida. Hii method iligunduliwa na taoist monks. Na pia ina faida nyingi kiafya. The more you dont ejaculate ndo the more unavopata health benefits. Mojawapo ni kuongeza strong erections na kudumu kwenye tendo kwa muda mrefu zaidi.
Unajua, pale unapomwaga mbegu, unapoteza energy thats why wengi hua wanaishia kusinzia na kuchoka. Njia hii imeelezwa pamoja na mambo mengi kwenye kitabu. Subiri nijaribu kukiupload japokua changamoto ya sisi watanzania ni kusoma.
Humo kuna mazoezi mbalimbali ambayo unavoendelea kufuata ndo utafikia kwenye multiple orgasms with semen retention.
Ni kweli mtaalam Ila tumeona tuunganishe vyote maana semen retention ni kutunza shahawa isitoke kwa njia yeyote ile iwe kwa sex ama kwa nyeto na NoFap ni kwa lengo la kuacha punyeto, porn, na pia vile vile kumwaga sasa sisi tumeona vyote vinashabihiana hivyo apo ni mwendo wa two in one maana ukiangalia porno utashawishika kama sio puli basi utataka kut..omba dem...WENGI HUMU WANAFANYA SEMEN RETENTION NA SIO NOFAP NA HAWAJATAMBUA
Karibu sana mdau kwenye chama kubwa... wala hujakosea kuwa hapa.. pia utapata manufaa tele kupitia elimu hii. Tusisahau pia kuunfollow page zote zenye wadada wenye makalio huko instagram.. maana ukiziangalia na zile zinaansha amsha mashetani balaa. Mimi nimemuunfollow sanchoka, kajala, na midada mingine ya rwanda huko nigeria na ghana maana ilikuwa nikiiangalia ile midada inanitia amsha amsha hatari..Hii thread nimekuwa nikiiona mara kwa mara nikawa najua inazungumzia mambo ambayo siyajui na hayana maana kwangu,kumbe nilikuwa najichelewesha.
Na kwa jinsi mama alivyozuia mitandao ya ngono mnaweza kufanikisha kila la kheri wakuu
Hata mimi nimeanza rasmi leo tareh moja ila ukiupitia uzi vizuri toka mwanzo wapo wadau wengi ambao wamewahi kufanya hii kitu na wameorodhesha faida lukuki walizozipata ambazo ukiziona hakuna mwanaume asiependa kupata faida hizo na ndiyo maana tunalikomalia hili zoezi. Karibu sana mdau.Nami nimeanza Leo Sasa Ikifika miezi mingapi ntazoea, nanikizoea inakuaje Sasa
Hii inaitwa opareshen kata maji nchini mzee baba.. karibu sana chamani.Kwaiyo mmeona mtupige vita watu wa nyeto kivingine amaa? [emoji35]
Sent from my TECNO WX3LTE using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimejikwaa [emoji849][emoji849] kesho naanza nikiwa seriously..
Hii thread nimekuwa nikiiona mara kwa mara nikawa najua inazungumzia mambo ambayo siyajui na hayana maana kwangu,kumbe nilikuwa najichelewesha.
Na kwa jinsi mama alivyozuia mitandao ya ngono mnaweza kufanikisha kila la kheri wakuu
Shukran sana mdau kwa kutusaidia hiki kitabu, ngoja nikipekue moja baada ya nyingine...