Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ni kama no fap kwenye suala la kutomwaga shahawa tu lakini kwenye njia Hii unakula mzigo kama kawaida. Hii method iligunduliwa na taoist monks. Na pia ina faida nyingi kiafya. The more you dont ejaculate ndo the more unavopata health benefits. Mojawapo ni kuongeza strong erections na kudumu kwenye tendo kwa muda mrefu zaidi.
Unajua, pale unapomwaga mbegu, unapoteza energy thats why wengi hua wanaishia kusinzia na kuchoka. Njia hii imeelezwa pamoja na mambo mengi kwenye kitabu. Subiri nijaribu kukiupload japokua changamoto ya sisi watanzania ni kusoma.
Humo kuna mazoezi mbalimbali ambayo unavoendelea kufuata ndo utafikia kwenye multiple orgasms with semen retention.
Oh thanks buddy
 
Tuanzishe na mchango wa kuchangia utengenezaji wa mabango na vipeperushi na kuvisambaza nchi mzima

Ñdio maana Visa kule kwenye ule Uzi wa Kula KINASIARA vimepungua
 
Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.

NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.

View attachment 2234241
Nikutakie kila la kheri kweny nofap😁😁
 
Tuanzishe na mchango wa kuchangia utengenezaji wa mabango na vipeperushi na kuvisambaza nchi mzima

Ñdio maana Visa kule kwenye ule Uzi wa Kula KINASIARA vimepungua
Na huo ndiyo mpamgo wetu mabango yatatapakaa tutaanzia kwenye majiji makubwa kwanza
 
Upo mwezi wa pili mara paap....yule mwanamke uliyekua unammezea mate ukitamani japo umkumbatie tuu anajileta kwenye 18 zako
 
Hiyo nane nimechelewa tu kuanza mtoto ananitext siku hizi sikuvutii [emoji1787]
Screenshot_20220602-140146.jpg
 
Nilichogundua ili ufanikishe hii challenge,unatakiwa ukae mbali kabisa na hii mitandao ya kijamii kwa kuwa ina hamasisha sana ngono.

Ukiingia wasap,facebook,insta,tiktok na bado uzi wa tunda kimasihara na warembo wakali world wide hapa JF,utakuwa kila siku unaishia kuwa scout tu halafu una reset.

Hadi utakosa sababu za kumwambia yule jamaa wa Iron Will
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi mzuri, nilisabusikraibu nikawa nafuatilia comments.

Nami nikaunga tela, ila ni siku ya tatu naona kila day warembo wananielewa na hawajui nipo kifungoni.

Nakomaa tu, lengo litimie..bila ya uzi kuanzia january mpaka feb katikati, nilikaa bila sex ila ndoto nyevu zikawa nazipata..

Na genye zikiwa mingi, hata barabarani ukiona mwanamke hata kama sio mrembo unaanza kuingiza mikono mfukoni.

Naitaji niende mpama 2023..tuko pamoja.
 
Tuko pamoja comrade

Kuna dogo aliniwekea kwenye sm lakin nmefurukuta nimeshindwa kuitumia kabisa
Kama unatumia Android ndio rahisi zaid ni single click, angalau iOS inahitaji vitu vingine kidg

Kama hauna ni sawa tu, maana haina ulazima sio kipindi cha uchaguz hiki mpaka itokee wakuzimie Twitter
 
Back
Top Bottom