Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Twende..
Screenshot_20220603-153253.jpg
 
Mimi niliunfollow Insta wakina uwoya , zuchu , nandi , paula nk page yangu imejaa madini tupu na wanamichezo vilevile miziki ya hovyo pamoja na movies za kizungu nimetupilia mbali nilianza tokea kipindi cha covid tarehe niliandika kwenye kidaftari changu cha kumbukumbu na nikajiwekea kiapo siku nikisaliti chama faini yake ni kuachana kitabu hiyo ikanipa hamasa coz kitabu changu kina vitu muhimu siwezi kukichana hivyo kinatakiwa kuwa salama kwa muda wote.

Malengo ya kwanza ilikuwa miezi sita nilipovuka nikarenew contract sasa nimekuwa immortal chief General
Hongera sana Chief,ila sio kazi ndogo
 
Back
Top Bottom