bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,741
- Thread starter
- #561
Twende mzeebaba umeanza vyema sanaKesho napanda cheoView attachment 2249828View attachment 2249829
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende mzeebaba umeanza vyema sanaKesho napanda cheoView attachment 2249828View attachment 2249829
Master Sergeant tupo wengi... 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2250665
Mlio oa labda kama wife kasafiri unaweza ukaapply hiyo ila kama yupo mzee ni lazima uzibue lile sikio ni haki yake lile sikio lizibuliwe na wewe.... usije ukasababisha watoto wafanane na balozi wa mtaa mzeebaba....Huu uzi ni kwa wasio oa tu?
Hauwezi kuwa hanithi wkt unazalisha testosterone ya kutosha Mkuu, Hapo unaipunguzia brain muda wa kuwaza sex Sana unabadili matumizi ya akili, maana libido inachochewa na brain iliyokaa kizembezembe Cha muhimu focus na mambo mengine tu.nilicho observe ukikaa bila kupiga nyeto au kusex kwa muda libido inapungua na uwezekano wa kuwa hanithi ni mkubwa
Ni sawa na kuweka betri chaji na ukahakimisha kabisa moto unaingia kwenye betri alafu mara baada ya muda flani unakuja kulitoa eti ukute betri lina asilimia sifuri...?nilicho observe ukikaa bila kupiga nyeto au kusex kwa muda libido inapungua na uwezekano wa kuwa hanithi ni mkubwa
Umeeleza vizuri sana mdau. Hapo kweli ni sawa na kujitafuta maana upo kwenye sehemu isiyo sahihi and you must come to the real world...Hii challenge Ni nzuri Sana SEMA Watu Wengi wana mawazo mgando wanahisi watapoteza uwezo wa sex Mara watageuka mashoga lkn km wengi wakaamua serious kuijua vzr na waifanye watakuja kufurahi Sana mbeleni yaani naiona Kama vile unajichaji na unajitafuta halafu unajiweka unapostahili uwepo
Kwangu mm Hii Ni zaidi hata ya hizo meditation kwa Kweli
Sketi zinakwepeka, ila kuna hali ya mwili iko, kuna ka internal power kana kufanya ujihis faru au bulldozer uchakaze chakaze na kurarua mbususu, ila bado tuna strong will, natumai siku mia zitaisha.Haha vipi kamanda sketi zinaanza kukufukuzia? inatakiwa usizizingatie hizo zitaharibu mchongo man...
Ninachokiona wengi wanadhani kuwaza ngono kila muda ndio wingi wa testosterone.Hauwezi kuwa hanithi wkt unazalisha testosterone ya kutosha Mkuu, Hapo unaipunguzia brain muda wa kuwaza sex Sana unabadili matumizi ya akili, maana libido inachochewa na brain iliyokaa kizembezembe Cha muhimu focus na mambo mengine tu.
Fanyeni muowe bana acheni izo pirika za kitoto.Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2234241
Tulia weweFanyeni muowe bana acheni izo pirika za kitoto.
Nimesoma huu uzi na mimi nikajiunga challenge week ya pili hii sijapiga nyeto nataka niende mpk mwisho wa mwezi huu , naacha kupiga nyeto tuuh na kuangalia porn video , ila demu wangu nachakacha kama kawaida
Sio rahisi [emoji23][emoji23]Mmefikia wapi nyie viumbe [emoji23][emoji23]
[emoji3] nyeto ndo kisangaNimesoma huu uzi na mimi nikajiunga challenge week ya pili hii sijapiga nyeto nataka niende mpk mwisho wa mwezi huu , naacha kupiga nyeto tuuh na kuangalia porn video , ila demu wangu nachakacha kama kawaida