Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Kiongoz Six Money finder jitahidi Sana kuepuka ndoto nyevu Sana brother hapo Kuna source ya sperm taker kwa njia ya spiritual evil zaidi ingawa najua ww ni vigumu kujua but unaweza kusema because ya ww kuto kupiga nyetu but ulikuwa unawapa sperm kwa njia ya punyeto sasa umeacha wanazichukua kwa njia ya Ndoto hihi ni hatàr Sana kwa maisha yako

Muombe Sana Mungu akuepushe na ndoto nyevu njia ya Muovu ya sperm taker
 
Duhh kumbe
 
Usidanganye watu.

Wet dreams ni mchakato wa kawaida kabisa wa kibayolojia wa mwili kuondoa mbegu zilizozalishwa ili kuupa mwili nafasi ya kuzalisha mbegu nyingine.

Mungu alipokuumba alikupa akili, itumie vizuri. Usione pepo na mashetani kwenye kila kitu.

Kwahiyo huyo "spiritual evil" anazipeleka wapi shahawa zako?

Hizi dini za Kilokole bhana. 😁
 
Dah wakuu jana ilikuwa ni siku ya 4 nimetoka job,gheto namkuta shemeji yenu amevaa jezi yangu ya yanga anakoroga mchuzi wa samaki,hiyo saa 11,jamani mwanamke ni mwanamke tu,nimejaribu kukwepa kwepa,hata gheto sijakaa,nilivyobadili nguo tu nikatoka nikaenda kwenye draft,ilivyofika saa 1 nikaenda kuangalia mechi ya yanga,niko kwenye mechi simu inaita vibaya mno,naitwa gheto..nikaweka silence,mechi imeisha narudi gheto nakuta mtoto amelala yupo uuuchi kama alivyozaliwa,halafu alivyo mchokozi kaacha taa inawaka😐...jana nimegundua ni kwa nn babu yetu adam aliweza kushawishika kula lile tunda la mti wa kati ..kusema ukweli nimedondoka vibaya,kaniharibia #nofap yangu...ila leo nimeanza tena upya...

Ushauri wangu,ukiwa kwenye hii challenge jitahidi kukaa mbali na wanawake kadri iwezekanavyo,wajameni mademu wana vishawishi..
 
UPDATES

SIKU 28

BADO SIKU MBILI NIPANDE CHEO

MWANZO NILITESEKA NILITAKA MPKA NIMTONGOZE MTOTO WA KITAA HAPA MWANAFUNZI WA FORM 3 MAANA NIKAHUNI KAPO EASILY AVAILABLE
ILA NIKASEMA PEPO SHINDWA
Nataka nifike hii rekodi ume ni inspire..

Count down day 12...
 
Usidanganye watu.

Wet dreams ni mchakato wa kawaida kabisa wa kibayolojia wa mwili kuondoa mbegu zilizozalishwa ili kuupa mwili nafasi ya kuzalisha mbegu nyingine.

Mungu alipokuumba alikupa akili, itumie vizuri. Usione pepo na mashetani kwenye kila kitu.

Kwahiyo huyo "spiritual evil" anazipeleka wapi shahawa zako?

Hizi dini za Kilokole bhana. [emoji16]
Hapana bro me ninaenda mwezi wa 4 kama sio wa 5 sijakutana na mwanamke wala kujichua lakin nilikua napata wet dream mwanzani haswa ule mwezi wa kwanza lakn ninavokwambia ndan ya io miez nimepata wet dream haswa kwa kumbukumbu zangu ni mara mbili

Addition sikuwahi jua kama kuna hii challenge but binafsi niliamua kuacha tu izo habari just kuachana na zinaa na kutochezea ibada zangu ila Alhamdulillah naendelea vizuri na hainisumbui japo kuna wakati napatwa na depression na lolyness hatari ila namshukuru Mungu ananipambania haswa navuka na nimejiwekea sitakuja fanya tena ilo jambo mpaka nikioa yan.....maombi yenu wakuu
 
Mkuu mimi nilishazoea,naweza toboa hata 8 months sijachakata,ila siku nikichakata ni kama mfungwa katoka jela. Ila nyege haziniendeshi hata kidogo,nadhani hii inachangiwa na lifestyle ya mtu.

Kwa mfano mimi nafanya kazi siku zote saba za week non-stop. Kila siku nakua kazini kuanzia 12 asubuhi mpaka saa 3,hapo nitapika,nakula,nachek movies ya kivita moja then nalala.
 
Hongera Mkuu
 
Kila siku asubuhi mpak usiku Sasa unapata wapi mda wa kusocialize ? Si changamoto hiyo tena
 
Usidanganye watu.

Wet dreams ni mchakato wa kawaida kabisa wa kibayolojia wa mwili kuondoa mbegu zilizozalishwa ili kuupa mwili nafasi ya kuzalisha mbegu nyingine.

Mungu alipokuumba alikupa akili, itumie vizuri. Usione pepo na mashetani kwenye kila kitu.

Kwahiyo huyo "spiritual evil" anazipeleka wapi shahawa zako?

Hizi dini za Kilokole bhana. 😁
Nakubaliana na wewe mkuu, hata gari huwa oil inamwaga ili kuleta ufanisi zaidi sasa ikiwa hauchakati, huli nyetoh , haucheki porn nk hapo lazima wet dreams zihusike ili kuupa mwili ufanisi na nguvu...

Hata kwa waislamu mtu akifunga akifanya tendo la ndoa au kula nyeto funga inaharibika ila akipiga show na kuejaculate ndotoni hakuna makosa na funga inaendelea kama kawaida...
 
Nataka nifike hii rekodi ume ni inspire..

Count down day 12...
Inahitaji uvumilivu mkuu leo nimetimiza mwezi View attachment 2269903
Screenshot_20220623-195346.jpg
 
Usidanganye watu.

Wet dreams ni mchakato wa kawaida kabisa wa kibayolojia wa mwili kuondoa mbegu zilizozalishwa ili kuupa mwili nafasi ya kuzalisha mbegu nyingine.

Mungu alipokuumba alikupa akili, itumie vizuri. Usione pepo na mashetani kwenye kila kitu.

Kwahiyo huyo "spiritual evil" anazipeleka wapi shahawa zako?

Hizi dini za Kilokole bhana. [emoji16]
Iyo ni Sababu isiyo Sababu kiongoz hiyo ni kama mwanya wa shetani kutumia kupanda uharibifu Katika maisha yetu hasa wanaume Lkn tunajipa Sababu za kibaiolonia zaidi Lkn behind the scenes Kuna source

Think twice Ndugu
 
Nyie wote mnaofanya hii challenge hamjaoa!! Mm kipindi sijaoa nliwahi kuwekeana ahadi na rafki yangu tusifanye mapenzi Hadi tutimize lengo Fulani tulikua tumejiwekea na kweli sikufanya ! Nilikaa mwaka na miezi 6 bila kuchakata despite nlikua nafanyia kazi kwenye mazingira ambayo mwanamke kukuambia Leo nataka kuja kulala kwako ilikua Jambo la kawaida!!,, Sasa hivi napambana na kupunguza idadi ya michepuko
 
Hivi mnajua theory ya use and disuse mazee ...

"The more you use your body part,that part become more strong and perfect "

"The way you disuse your body part that part become weak and functionless finally disappear"

Wanabiologia walienda mbali nakusema zamani kabisa ostrich (mbuni) alikuwa na mabawa ya kuweza kuruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine lakin alivokaa mazingira ambayo hayamsupport kuruka kwa muda mrefu mabawa yake yalikuwa weak na functionless ndio maana mpaka Sasa mbuni ana mabawa ila hawezi kupaa kama ndege wengine ...." Disuse of body part"

Twiga alikuwa na shingo fupi lakini baada ya ukame mkubwa na majani kuisha chini ya ardhi alianza kula majani ya mti na kitendo cha kuanza kuwa anaforce shingo yake kwenda juu mpaka Leo ile shingo imekuwa ndefu "use of body part"

Kwa maelezo zaidi kasome kitabu cha biology form 3 Kuna topic inaitwa "theory of origin and development".....

Sasa kwa nyie mnaotaka kukaa miaka hamfanyi Nina uhakika mnadhoifisha Hilo eneo na linaenda kuwa weak ....

Kumbuka " practice make more perfect " .....
 
Theory ya use and disuse haina effect kwa mwaka au miaka michache... Ina effect after hundreds of thousands of years. Lazima pia kuwepo na effect ya mazingira. Rudi shule dogo.
 
Unajipa moyoo eeh ....

Mnajiandaa kuwa weak trust me [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom