Akijibu unishtue[emoji23]HV Alie anzisha hii challenge Yuko API ametikia wapi
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akijibu unishtue[emoji23]HV Alie anzisha hii challenge Yuko API ametikia wapi
Tangu tar 23/08/2022 had leo npo kweny hyo challengeWasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Hongera sana aiseeeTangu tar 23/08/2022 had leo npo kweny hyo challenge
Shukran bado napambana zaid, japokuwa apa huu mwez sdhan km ntaweza kumalza
Kwanini usimalize boss, kaza kaza inawezekana,Shukran bado napambana zaid, japokuwa apa huu mwez sdhan km ntaweza kumalza
Take a bow🫡Hapo vipi wazeeView attachment 2409918View attachment 2409919
...Kwa Kirefu ni Nini?...Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Tupo kwneye mfungo mkuuNyie majamaa wa humu mna roho ngumu Sana aisee[emoji848]
Wana roho ngumu sana no sex, no punyeto, no porno!!!!🤔🤔🤔Nyie majamaa wa humu mna roho ngumu Sana aisee[emoji848]
Wanataka kibubu kijae utamuKwanini hamtaki kula mbususu wakuu?? Anyway.