Ok ntaelezea mabadiliko chanya, kifupi sikuweza kuacha Ngono kwa willpower nilishawahi sema hapa... Nimeweza kuacha kwa kuwa na Hofu ya Mungu, Then baada ya hapo yakatokea mabadiliko kama ifuatavyo:
Naokoa mda wangu sana, mda niliokuwa naupoteza nimeuamishia kwenye productivity, ambayo imensaidia
Kiuchumi
• Electronics e-commerce store ipo finishing stage kwenye Launching ntawawambia wengine mnaweza kuwa wateja humu.
•Nimepata appointment ya kwanza na mteja kwenye freelancing platform
Personal Growth
•Niko na tamaduni ya kusoma vitabu na vitu muhimu tu.
•Imesababisha niache habits mbovu za zaman ie Kunywa weekends, Kuangalia Movie all night
Emotional pros:
•Plan za kuwa na uhusiano na mtu mmoja
• Not attached na Material things siku hizi niko na value sana exprience & How to make impact.
Note: Kuacha Ngono tu haitoshi, sio ndio kutaimpact Maisha kumbuka kuvunja bad habits zote... Kama unabet acha, mcheza kamari acha, Mlevi acha then acha uvivu... focus on the work kama ni mfanyakazi na kama mfanya biashara focus on growing your business. Mabadiliko utakayoyaona you won’t go back.
Axis kubwa ya kuweza haya Ni Dini ukitumia akili yako utakwaam tu somewhere, you won’t make it that far.
View attachment 2446430