Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Nimevuka hadi malengo ya app ya siku 500,sijapiga nyeto wala sex
Asante Mungu kwa kuniwezesha.
Asante Mungu kwa kuniwezesha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kakaDah! Pole ila pia unaweza kuingia online ila login au tafuta alternative zipo nyingi japo mimi hiyo ndio nimepata experience nzuri. Imagine leo ni day 368! Bila ujinga.
[emoji3]Tupambane tuNimejipa hiyo challenge ni miaka kumi sasa... Sasa imefika kipindi nimekuwa kibamia kabisa...
Ile kitu ilifikia mahali nakosa confidence kabisa yani, siwezi kufanya eye contact na mtu, Yani mtu alimuona tu anajua sijiamini kabla ata ya kufungua mdomo, pesa Sikai nayo, Yani nikitaka kitu siwezi subiri, nataka hapo hapo. Yani nilijaribu zaidi ya mara 10 kuacha, nikishika simu tu kosa, pornhub, xvideos, zile za amateur homemade couples , aloo. Sijaamini nimetoboa mwaka mzima bila kupiga hiyo kitu. Japo urge inatokeaga, ata naweza kuingia kabisa kwenye pornsite, ila nashindwa kupiga kitu. Mapepo ya succubus na incubus ni hatari. Yanaleta mikosi asikwambie mtu.[emoji3]Tupambane tu
Me nikitoka job ni mazoezi na nkiwa free nikuwa online na kucheza dls24 basiIle kitu ilifikia mahali nakosa confidence kabisa yani, siwezi kufanya eye contact na mtu, Yani mtu alimuona tu anajua sijiamini kabla ata ya kufungua mdomo, pesa Sikai nayo, Yani nikitaka kitu siwezi subiri, nataka hapo hapo. Yani nilijaribu zaidi ya mara 10 kuacha, nikishika simu tu kosa, pornhub, xvideos, zile za amateur homemade couples , aloo. Sijaamini nimetoboa mwaka mzima bila kupiga hiyo kitu. Japo urge inatokeaga, ata naweza kuingia kabisa kwenye pornsite, ila nashindwa kupiga kitu. Mapepo ya succubus na incubus ni hatari. Yanaleta mikosi asikwambie mtu.
Umeweza kweli?TAR 22.12.2023
Hii challenge nimeipenda, hii app gani mkuu
Dah! Pole ila pia unaweza kuingia online ila login au tafuta alternative zipo nyingi japo mimi hiyo ndio nimepata experience nzuri. Imagine leo ni day 368! Bila ujinga.
Mkuu hukuteleza tena?Mwanangu baada ya kuteleza pale nimeanza upya leo tarehe moja na sina masihara saizi kabisa....View attachment 2246734
HahahahaKataa Nyeto ni Utumwa
Duh ulikua umeathirika sana mkuu, kitunguu swaumu kinasaidia niniKabisa nina plan ya kuanza mazoezi, pia uwa natumia kitunguu saumu asubuh pia maji nakunywa sana kwa kiwango kikubwa naiona improvement maana nilipotoka ilikuwa ni masterB kwa sana yaani ilifika Kipindi usiku lazima nishtuke nipige ata viwili ndo ntalala vizuri(msongo wa mawazo)
Hahaha nipo sayari ya mars na nipo ahead of timeSio kweli.
Watu tuna libido kubwa tu.
Don’t ever underestimate power of mind. You’re limitless.
Tafiti zinasema wasioshiriki wanakua na msongo wa mawazo na kutojiamini iweje wewe una furaha au unashindwa kutofautisha furaha na vingineAt the fountain of blissful life.
I have never been this happy and content with life throughout my life.
Meditation + No faps = ecstatic + meaningful life
Jaribu miezi mitatu mfululizo utaleta mrejesho hapa.
Msukumo wa damu kwenye Viungo vya uzaziDuh ulikua umeathirika sana mkuu, kitunguu swaumu kinasaidia nini
Sawa kazana kuimarisha nguvu, ila msijinyime sana hamna anaejua kesho yake, furaha ya leo ni tofauti na ya kesho maana kesho ubora unapunguaMsukumo wa damu kwenye Viungo vya uzazi
Nataka nijireboot huu mwakaSawa kazana kuimarisha nguvu, ila msijinyime sana hamna anaejua kesho yake, furaha ya leo ni tofauti na ya kesho maana kesho ubora unapungua