Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Msukumo wa DamuDuh ulikua umeathirika sana mkuu, kitunguu swaumu kinasaidia nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msukumo wa DamuDuh ulikua umeathirika sana mkuu, kitunguu swaumu kinasaidia nini
Hii app inaitw nn bro
Iron willHii app inaitw nn bro
Siku ya 10 lakini npo maji ya shingo naona km nimekaa Miezi mi5 aisee[emoji45]Tulioanza mwaka huu tujuane kwa ajili ya updates...
View attachment 2867307
Tuitafute Knight mkuu challenge ya siku nne haiwezi tushinda ..Siku ya 10 lakini npo maji ya shingo naona km nimekaa Miezi mi5 aisee[emoji45]
View attachment 2868303
Tafiti zinasema wasioshiriki wanakua na msongo wa mawazo na kutojiamini iweje wewe una furaha au unashindwa kutofautisha furaha na vingine
Nataka nijireboot huu mwaka
Siku ya 10 lakini npo maji ya shingo naona km nimekaa Miezi mi5 aisee[emoji45]
View attachment 2868303
Pamoja sana kiongoziTuitafute Knight mkuu challenge ya siku nne haiwezi tushinda ..
Jitaida tu kuchosha mwili siku zinaenda tuu
Sema nmegundua ukiamua kuingia kwny hii challenge na majaribu yanaongezeka yaan kuna katoto kanansumbua sahv balaa na kanaomba shoo waziwaz najitahd sana kukakwepa lakn sasa[emoji17]Kazana, short time pleasure offers you with short term happiness but long term endurance awards you with long lasting sense of fulfillment and happiness in your daily life.
Key word- cut off short term pleasure eg sex, masterbution, pornography etc
All the best mkuuTarehe 11/01/2024
Ngoja ni dumbukie na mimi huku wakuu naombeni baraka zenu na maombi yenu . Nitaanza kwanza na siku 60 nione kama nitatoboa maana mimi ni muhanga sana na addicted sana wa kuchanua watoto wa watu hovyo yani siwezagi kulala au kuwa na siku nzuri tena mwenye kichwa chepesi bila kuteleza huko nitoe wazungu
Nikimaliza siku 60 kwanza nitarudi hapa tena
😂😂😂😂Sema nmegundua ukiamua kuingia kwny hii challenge na majaribu yanaongezeka yaan kuna katoto kanansumbua sahv balaa na kanaomba shoo waziwaz najitahd sana kukakwepa lakn sasa[emoji17]
Na hzi mvua za Morogoro na kabaridi daahh ila wacha niendelee kukaza tu...[emoji45][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii lazima iende sambamba na kupunguza mlo kwa speed Kali vinginevyo unaeza hata pata ugonjwa wa moyoWasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hii challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Tarehe 11/01/2024
Ngoja ni dumbukie na mimi huku wakuu naombeni baraka zenu na maombi yenu . Nitaanza kwanza na siku 60 nione kama nitatoboa maana mimi ni muhanga sana na addicted sana wa kuchanua watoto wa watu hovyo yani siwezagi kulala au kuwa na siku nzuri tena mwenye kichwa chepesi bila kuteleza huko nitoe wazungu
Nikimaliza siku 60 kwanza nitarudi hapa tena
Sema nmegundua ukiamua kuingia kwny hii challenge na majaribu yanaongezeka yaan kuna katoto kanansumbua sahv balaa na kanaomba shoo waziwaz najitahd sana kukakwepa lakn sasa[emoji17]
Na hzi mvua za Morogoro na kabaridi daahh ila wacha niendelee kukaza tu...[emoji45]