Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Namimi jana nilirelapse tumeanza wote mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namimi jana nilirelapse tumeanza wote mkuu
Let's do this togetherNamimi jana nilirelapse tumeanza wote mkuu
Na larmakismUsije na habari za charles Darwin tuu
hatari mkuuHizi sites kumbe zinabeba hayo mapepo eh ?!
6. Usile vyakula mfu, eat live foods ( green vegetable, fruits and grains 𝐌𝐟𝐚𝐧𝐨........Jitahidi kufanya haya
1. Soma kitabu ( inspirational & self help books) at least page 5 kila siku.
2. Anza kujifunza Meditation, dakika 15 tu zinatosha kila siku.
3. Uchoshe mwili kwa mazoezi hasa push ups, sit ups, jogging, evening walk etc
4. Usikae na simu kitandani, weka mezani au sehemu nyingine mbali na kitandani ukiwa upo bed idle.
5. Amka saa kumi na moja kila siku, huu ni muda mzuri wa meditation na zoezi then ingia mishe.
6. Usile vyakula mfu, eat live foods ( green vegetable, fruits and grains)
7. Listen music when you feel unmotivated.
Ukifanya hayo yote kwa usahihi, utakuwa mtu mpya mwenye furaha, self discipline & sense of fulfiiment.
Let's do this together
msaliti wewe, kule unarusha ndoana, ila hapa ni NoFapper siyo ?6. Usile vyakula mfu, eat live foods ( green vegetable, fruits and grains 𝐌𝐟𝐚𝐧𝐨........
𝐒𝐞𝐱 𝐢𝐬 𝐚𝐧 𝐢𝐥𝐥𝐮𝐬𝐬𝐢𝐨𝐧Sex Ina Ufala Fulani Hivi, Ukimaliza Kufanya Ndio Unaona Kabisa Sex Ni Jambo La Kawaida Kabisa Si Kama Ilivyokuwa Overrated Na Jamii.
Acha Na Mimi Nipumzike Nitunze Afya Nianze Na Challenge.
Leo Ndio Day 1.
Challenge Accepted.
Mbona unanihack kiongozi.....acha mambo yako bhana.msaliti wewe, kule unarusha ndoana, ila hapa ni NoFapper siyo ?
achana na NoFap scavenge pump, njoo chaputaMbona unanihack kiongozi.....acha mambo yako bhana.
Mh nitashindwa kubeba tofali nikiwa addictedachana na NoFap scavenge pump, njoo chaputa
Ni hasara kiongoziachana na NoFap scavenge pump, njoo chaputa
mbona mimi nabeba nguzo za umeme nikiwa site na nimepiga viwili asubuhi yake ?Ni hasara kiongozi
[emoji23][emoji23][emoji23]umekuja kumshtukia mwamba anasaliti kundimsaliti wewe, kule unarusha ndoana, ila hapa ni NoFapper siyo ?
hahahaha huyu mamluki[emoji23][emoji23][emoji23]umekuja kumshtukia mwamba anasaliti kundi
Dah mimi leo naanza tena[emoji24][emoji24]mi niko siku ya 3
Siju tatu tu ushaanza kuwa mshauri [emoji12]Mkuu Anza Mdo Mdo Ni Kufanya Maamuzi
Acha uongo unafanya misuli kuwa dhaifumbona mimi nabeba nguzo za umeme nikiwa site na nimepiga viwili asubuhi yake ?
Jamaa sijui kanihack[emoji23][emoji23][emoji23]umekuja kumshtukia mwamba anasaliti kundi
kweli tena, nabeba nguzo fresh na minazi nakweaAcha uongo unafanya misuki kuwa dhaifu