Nimeona Rais Samia akiondoka Ikulu kabla ya kumaliza muda wake rasmi

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Ukiwa NABII hutakiwi kushawishi watu waamini unabii wako kwa njia yoyote.

Pia hutakiwi kutabiri kwa kuangalia hali ya hewa .

Most of the prophets nowadays prophesy according to the environment. Wakiona kampeni zimenoga ndipo wanajua huu upepo fulani ndiye mshindi.

Pia hutabiri kwa kuegemea upande. Mfano , NABII akiwa mlengo wa chama tawala hupendelea chama tawala na akiwa upinzani huvutia ngozi upande wa upinzani.

I saw President Samia going out from the National HQ to the coast before her time.
 
Ukiwa NABII hutakiwi kushawishi watu waamini unabii wako kwa njia yoyote.
Pia hutakiwi kutabiri kwa kuangalia hali ya hewa .
Most of the now days prophets prophesy according to environment. Wakiona kampeni zimenoga ndipo wanajua huu upepo fulani ndiye mahindi.
Pia hutabiri kwa kuegemea upande. Mfano , NABII akiwa mlengo wa chama tawala hupendelea chama tawala na akiwa upinzani huvutia ngozi upande wa upinzani.
I saw President Samia going out from National HQ to coast before her

so umeacha uchawa ?! Au mrija umeziba ?!
😀
 
Ukiwa NABII hutakiwi kushawishi watu waamini unabii wako kwa njia yoyote.
Pia hutakiwi kutabiri kwa kuangalia hali ya hewa .
Most of the now days prophets prophesy according to environment. Wakiona kampeni zimenoga ndipo wanajua huu upepo fulani ndiye mahindi.
Pia hutabiri kwa kuegemea upande. Mfano , NABII akiwa mlengo wa chama tawala hupendelea chama tawala na akiwa upinzani huvutia ngozi upande wa upinzani.
I saw President Samia going out from National HQ to coast before her time.
Anaenda huko Coast, akiwa kama nani?

Balozi wa nyumba kumi, katibu tawala au mwenyekiti wa shina?

Fafanua kidogo.
 
Ukiwa NABII hutakiwi kushawishi watu waamini unabii wako kwa njia yoyote.
Pia hutakiwi kutabiri kwa kuangalia hali ya hewa .
Most of the now days prophets prophesy according to environment. Wakiona kampeni zimenoga ndipo wanajua huu upepo fulani ndiye mshindi.
Pia hutabiri kwa kuegemea upande. Mfano , NABII akiwa mlengo wa chama tawala hupendelea chama tawala na akiwa upinzani huvutia ngozi upande wa upinzani.
I saw President Samia going out from National HQ to coast before her time.
Wahi kubadilisha I'd mapema ili twende sawa.
 
sijaona unabii hapo.

ukiwa una join dots na patterns utatatumbua kuwa samia ni nafsi iliyochoka na haya yote.

lakini kuna msukumo unamfanya aendelee kuwepo pale.

nikiangalia macho yake nahisi vile nafsi yake inatapa tapa ata kuonesha kukata tamaa lakini hana namna.
 
Kwakuwa ni weekend huna kazi ya kufanya umeamua uanze kuokota comments za jukwaa zima
 
Hata hakuwahi stahili kuwepo hapo since day one..kati ya viongozi wahovyo asiyetosha katika nafadi ni huyo mumama,ashukuru katiba mbovu na wahuni ndio mana yuko hapo.
 
Back
Top Bottom