Nimeona Rais Samia akiondoka Ikulu kabla ya kumaliza muda wake rasmi

Nimeona Rais Samia akiondoka Ikulu kabla ya kumaliza muda wake rasmi

hawa chawa wa mama wametumwa jamani mnakumbuka October 2pm alivo poteza maboya saivi kauchuna kimya anakula mafao ya damu 🥹
 
watu wanaandaa mashamba kwa kilimo wewe unakalia ramli zisizo na tija kiuchumi
 
Taja mwezi na mwaka, open-ended unabii ni utapeli
 
Mafwele 🎶🎵💃💃🕺💃🎶🎵🎵
 
Back
Top Bottom