Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Ukiwa NABII hutakiwi kushawishi watu waamini unabii wako kwa njia yoyote.
Pia hutakiwi kutabiri kwa kuangalia hali ya hewa .
Most of the now days prophets prophesy according to environment. Wakiona kampeni zimenoga ndipo wanajua huu upepo fulani ndiye mahindi.
Pia hutabiri kwa kuegemea upande. Mfano , NABII akiwa mlengo wa chama tawala hupendelea chama tawala na akiwa upinzani huvutia ngozi upande wa upinzani.
I saw President Samia going out from National HQ to coast before her
😀so umeacha uchawa ?! Au mrija umeziba ?!
Nikirudi katika mtifuano wa kawaida wembe ni uleule.so umeacha uchawa ?! Au mrija umeziba ?!
Anaenda huko Coast, akiwa kama nani?Ukiwa NABII hutakiwi kushawishi watu waamini unabii wako kwa njia yoyote.
Pia hutakiwi kutabiri kwa kuangalia hali ya hewa .
Most of the now days prophets prophesy according to environment. Wakiona kampeni zimenoga ndipo wanajua huu upepo fulani ndiye mahindi.
Pia hutabiri kwa kuegemea upande. Mfano , NABII akiwa mlengo wa chama tawala hupendelea chama tawala na akiwa upinzani huvutia ngozi upande wa upinzani.
I saw President Samia going out from National HQ to coast before her time.
Wahi kubadilisha I'd mapema ili twende sawa.Ukiwa NABII hutakiwi kushawishi watu waamini unabii wako kwa njia yoyote.
Pia hutakiwi kutabiri kwa kuangalia hali ya hewa .
Most of the now days prophets prophesy according to environment. Wakiona kampeni zimenoga ndipo wanajua huu upepo fulani ndiye mshindi.
Pia hutabiri kwa kuegemea upande. Mfano , NABII akiwa mlengo wa chama tawala hupendelea chama tawala na akiwa upinzani huvutia ngozi upande wa upinzani.
I saw President Samia going out from National HQ to coast before her time.
Hebu soma tena Uzi .Wahi kubadilisha I'd mapema ili twende sawa.
sawaMtoto wa nyoka ni nyoka mtoa mada apuuzwe
Ni Mgao wa hapo Lumumba safari hii wamekuruka au ni utabiri kweli?I saw President Samia going out from National HQ to coast before her time.
ahahaha 😂 😂Ni Mgao wa hapo Lumumba safari hii wamekuruka au ni utabiri kweli?
Hatupaswi kumuamini Muongo, hata akiongea Ukweli.
Acha tujipe muda.