Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

Kama unataka kufuata historia, zamani watu weusi waliuzwa kwenye utumwa, unataka turudie kuhalalisha biashara ya kuwauza watu weusi utumwani, kwa sababu ndiyo historia yetu hiyo?

This is a logical fallacy, appeal to tradition.
 
Mahali mil 20 kwani una nunua rav 4 old model?
NB; unauhakika gani hio pisi kali ipo top 100 mwanza mzima.jitafakari
 

Mna uhakika Teslarati sio muhaya kwel[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mahali mil 20 kwani una nunua rav 4 old model?
NB; unauhakika gani hio pisi kali ipo top 100 mwanza mzima.jitafakari
Nilishajibu hapo juu. Kamuulizeni Fally Ipupa alitaka kuondoka nae akijua ni single lady mwamba nikatokea kwa nyuma nikamshika kiuno wife tukasepa.
 
Mahari ni chaka lingine la utapeli.

Na ndio mnaona vijana hawaoi sababu mmeset price ya "manunuzi" inayowashinda vijana.

Ndoa ni makubaliano mahari ni utapeli.
 
yani umeenda na jamaa yako kwenye suala la mahali?na ukanza kuwambia hayo mambo yote wazazi.dah hapo amna wakwe ni wahuni wenzako
 

Vipi kuhusu India.

Ila bora utoe mahari huu ni utamaduni mzuri, nchi kama Marekani wanaume wanalia na ndoa cos hawana mamlaka ya kucontrol mwanamke.

Unaishi na mwanamke hata wazaz hawakujwi inategemea nini hapo
 
Vipi kuhusu India.

Ila bora utoe mahari huu ni utamaduni mzuri, nchi kama Marekani wanaume wanalia na ndoa cos hawana mamlaka ya kucontrol mwanamke.

Unaishi na mwanamke hata wazaz hawakujwi inategemea nini hapo
Mahari ni mbaya popote. Ikitolewa upande wowote.

Wewe unapotaka kum control mwanamke kwa mahari unazidi kuthibitisha maneno yangu kwamba mahari ni bei ya kumnunua mtumwa.

Kutotoa mahari haina maana wazazi hawatakujua, that is a logical non sequitur fallacy. Si kika mzazi anataka mahari.

Nyerere alikataa mahari kwake. Kwa sababu za kifalsafa kama zangu.
 
Unajiona mjanja mwenyewe.
 
duuuh pole sana mahari ni kinyume na haki za binadam...by mm human right watvher ..kutoka mbagala.πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†
Human right watcher 😁 ... Umenifurahisha sana
 
Sitotoa mahari labda nimkute binti akiwa bikira kidogo ninaweza nikafikiria kutoa
 
mimi niliambiwa mahali mil 15, nilikimbia hadi leo, ila nimejifunza kutoka kwako
 
Changamoto inayowakabili vijana ni kwamba "Wengi wao" wamekuwa mwili na sio kiakili, kutokana na malezi na makuzi yao.Tatizo linaanzia hapo.
 
Kulipa mahari ni kipimo cha uwezo wa kuyabeba majukumu na kuingia utuuzima. Sasa kama huwezi lipa mahari tunakutofautishaje na mtoto wa sekondari. Wazazi hapo ndo wanapima kwamba binti yao anaenda ishi na mtu wa aina gani, ni mshenzi au muungwana. Kuanza jibishana na wazazi sijui ulimnunuliaga zawadi ni utoto mkubwa sana na ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…