Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

Kwann usitombe mkono wako tu kama unaona mahari ni utumwa?
 
Kwann usitombe mkono wako tu kama unaona mahari ni utumwa?
Huwezi kuelewa mambo haya kwa sababu hujapata elimu ya kukufungua macho.

Ndiyo maana mimi najadili hoja ya mahari, wewe unanijadiki mimi.

Kwa kunichamba na ad hominem attack.

A logical fallacy.
 
Mkuu samahani lakini hujaweka kila kitu in perspective way, mwanamke kimaumbile ni mtu wa kulelewa maisha yake yote, na likifanyika hilo hii dunia ingelikuwa na amani tele, mwanamke ni kiumbe cha kudekezwa tu kwa mahaba na vizawadi zawadi kama watoto, kama ilivyo binadaamu kwa mungu wao, huo ndio mfumo halisi wa maisha ingawa unaweza usiwe sahihi lakini ndio hali halisi, tukitaka kinyume na hapo kujifananisha tuko sawa na wanawake tutajikuta tunatembea kichwa chini miguu juu na chupi tunavalia kichwani, tafuta hela ungoe Pisi kali enjoy maisha, Haya maisha ni mafupi sana kuleta makasiriko ndugu yangu.
 
Mwanamke gani?

Ume generalize sana. Ukishasema "mwanamke ni ...", ukiachilia mbali vitu vichache ambavyo ni definition ya msingi, huko kwingine una generalize tu.

Wewe unasema hayo kutokana na mtazamo finyu ambao unatokana na utamaduni wako.

India katika utamaduni wao, mwanamke ndiye analipa mahari. Sasa huko India inakuwa vipi? Mwanamke anakuwa si mtu wa kulelewa na kudekezwa?

Your argument is based on a fallacy. The fallacy is appeal to tradition.

Nimeweka mfano wa mwanamke wa Kimarekani aliyekataa utamaduni huo wa kumfanya mwanamke kuwa ni kiumbe wa kulelewa na kudekezwa. Kwa nini? Kwa sababu haya ni mambo tunayojipangia wenyewe kiutamaduni tu, hakuna kitu chochote katika vinasaba vya mwanamke kinachosema kwamba mwanamke ni mtu wa kulelewa na kudekezwa. Na kama huu ni utamaduni tuliojiwekea wenyewe tu watu, na unawadogosha wanawake, tunaweza kuuondoa.

Your argument is a logical fallacy. Appeal to tradition.

Look that up.

 
Sasa ww umeenda nnje ya mada ukakomaa kukosoa kibwagizo, anyway ile pisi ni kali jomba. Fally ipupa alipokuja mwanza aliwahi kudata pale ikabidi nimshike kiuno wife nisepe
Bado sijashawishika. Mwanamke kuwa na ''ngekewa''wa kutongozwa tongozwa na wanaume bado haimaanishi ni mzuri. Pengine anaonekana ni ''mama rahisi'' machoni mwa wanaume au ni mzuri wa kufanyia majaribio ambayo wanaume hawawezi kuyafanya kwa wake zao.
 
Ndugu yangu mtu akishakuwa mshenzi MBWA sio suala la mahari tu ni katika maisha yake yote yeye atakuwa ni Mnyama tu vitendo vyake, mahari isiwe sababu ya kumnyanyasa mtu wewe kama ni mbwa ni mbwa tu hata upewe bure na kulipwa ulipwe wewe bado utaendelea kumnyanyasa mtoto wa watu, unapoamua kuchambua mambo ya kijamii kama haya usiangalie upande mmoja angalia pande zote na kimazoea binaadamu Tabia zetu zikoje kimalezi na kimaadaili, hapo ndio unapokosea wewe mkuu fungua macho yako na akili yako yote kutafakari na mtoa maoni kulingana na uhalisia sio mapenzi yako binafsi.
 
Usimvue nguo ndugu yetu mkuu muheshimu kwa leo tu
 
Mahari milioni 20? 😰😰😰

Mimi hata mjadala hakuna wakae na binti yao tu. Kwa sababu najua hata tukiamua kubargain hawawezi kushuka mpaka m5 ambayo bado kwangu naiona kubwa sana.
 
Mkuu sikatai binaadamu anaweza akakana hata ubinaadamu wake sio maumbile tu lakini chochote utakachokifanya utapata matokeo, na matokeo ya hao wanawake wa kimarekani waliamua kujipa uhuru ndio tunayaona, kama si wayahudi waliokataa kushushiwa chakula kutoka mbinguni ( manna na salwa) leo hii wasingekuwa kutanga tanga duniani kutafuta riziki. Hao wanawake wa kimarekani hadhi Yao kiutu na kibinaadamu iko chini sana mbele ya wanaume zao ukilinganisha na hawa wakwetu, usi generalize Jamii tofauti kwa kutumia formula tofauti, kipimo cha matokeo kiwe kimoja mkuu tafakari unafeli sana
 
Argument yako kwamba mwanamke ni mtu wa kudekezwa na kulelewa kama mtoto tu ni argument ya kuwanyanyasa, kuwanyanyapaa na kuwadogosha wanawake.

Ni logical fallacy, appeal to tradition.

Jifunze kufikiri vizuri zaidi kutoka kwenye hizi logical fallacies.
 
Hizo habari za binadamu na Mungu, Wayahudi na manna, tukizifuatilia hapa utakuta kuwa ni hadithi ambazo huwezi kuzithibitisha.

Nakwambia hivi, argument yako ni logical fallacy, appeal to tradition.

Ukiiondoa hiyo logical fallacy ya appeal to tradition, huna argument.

Tatizo sina hakika kama hata unaelewa logical fallacy ni nini, sembuse appeal to tradition.
 
Ukimuondolea mwanamke hiyo sifa ya kulelewa pia mwanamke anajukumu la kulea watoto, kunyonyesha, kila mtu asimame kwenye majukumu yake mbona unafikiria mambo kiufinyufinyu sana mkuu utafikiri ndio kwanza umekuja leo duniani, when you 3 in Rome do what the Roman's do bro, hii dunia ina bakora zake ukitaka kujifanya mjuaji itakuchapa na usijue zimetoka wapi, Hadi ukija ukishtuka inakuwa too late.
 
Chai hii. Toka mali ya 20M to 1M. Huku kwetu kuna baridi sana, naomba utuchemshie iwe ya moto sana. [emoji3][emoji2][emoji1][emoji16]
Acha kubisha ndugu yangu...
Kwa wenyeji wa kanda ya ziwa wanakupimia mahari kulingana mwonekano wako na utakavoenda...

My short story...

Nilienda uchumba Kwao na mubebi wangu huko Musoma...
Sasa tulienda Mimi, bro na mwamba mmoja bingwa wa Ku-bargain.

Tulikua tumelipuka Sana .. sasa muda wa mahari nilidata maana waliomba Ng'ombe 12, mbuzi 4 shilingi laki 6 (cash) hapo bado makolokolo mengine kibao ya shangazi, mjomba, Bibi, Babu na wazazi wake.... [emoji2]

Niliishia Tu kutoa kishika uchumba na uchumba ulifia pale... Baadae kuna mtu (mdogo wake na baby mama) alinipa ubuyu kua kumbe nilipimiwa mahari kutokana na kuja kichwa kichwa lakini ningepewa mke hata Kwa ng'ombe wanne Tu bila masharti mengine
 
Logocal fallacy, appeal to tradition.
 
Sasa ww umeenda nnje ya mada ukakomaa kukosoa kibwagizo, anyway ile pisi ni kali jomba. Fally ipupa alipokuja mwanza aliwahi kudata pale ikabidi nimshike kiuno wife nisepe
Kama ni yule nishamfahamu sheikh, vipi baada ya kuzinguana mlirudiana..?
 
Mkuu,
Wanawake walikuwa hawa hesabiwi kwenye jamii zote duniani?

Na walikuwa hawahesabiwi kwenye nini?
 
Mahari inatweza utu wa mtu na ni mila isiyofaa katika jamii yoyote,mtoa mada alikataa kutoa milioni 22 kwa sababu zipi na alitoa milioni moja kwa sababu zipi? Inaonyesha walikua wanamthaminisha binti kama bidhaa zingine tunazobargain bei, jambo ambalo halifai kufanyiwa binadamu,Mahari zipingwe kama ukeketaji kwa sababu ni udhalilishaji wa utu wa mtu.
 
Hapo mwishoni umemkosea heshima Mke wako.

Alifanya makosa kukuvulia chupi? Wazazi wako ww walikubia ukikutana na binti ambae hajalelewa vizuri umwagie ndani?

Shit sometimea happen tu

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…