Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

Mahari milioni 20? [emoji27][emoji27][emoji27]

Mimi hata mjadala hakuna wakae na binti yao tu. Kwa sababu najua hata tukiamua kubargain hawawezi kushuka mpaka m5 ambayo bado kwangu naiona kubwa sana.
Hujampenda mkuu. Ujue hapo tayari ni mke na mtoto.

Mimi nisinge bagain sana. Ningewaambia ngoja nikajipange watashangaa tu yuko na mimba ya 2 ndo waje wanipe kwa aftatu...[emoji16][emoji16]

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Tuliwai kumkopa bamkwe fulani tukampiga fix na demu wangu duh tukapigwa bata la kufa mtu,
Na kiwanja nikapewa uchagani huko.
Tulipotea mazima,Mzee ananisaka hadi leo anadai mahari yake.
Ila libinti lilikua safi sana sasa mdingi kajua atapiga hela nzuri kwa mapapaa huku kumbe mi popoma tu.
Tukamuingiza mjini
 
Hujampenda mkuu. Ujue hapo tayari ni mke na mtoto.

Mimi nisinge bagain sana. Ningewaambia ngoja nikajipange watashangaa tu yuko na mimba ya 2 ndo waje wanipe kwa aftatu...[emoji16][emoji16]

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Upendo upo ila kuna muda wazazi wanataka kukomoa tu. Kwa maisha haya huwezi nitajia mahari mil 20 nibaki nacheka cheka tu.
 
M20 to M1 mwanangu ntakutafuta kunasehemu tutaenda nasemajee yule manzi lazima nimbebe na tunahakikisha hatuachi hata mia mbovu mezani mi upumbavu staki we muache ufurahie tu sasahivi nnavo muhudumia ila ntampa mshangao wa mwaka mzima atabaki ananishangaaga tu we subili
 
Na kama umeshamzalisha huyo binti hata aftatu inatosha sababu wazazi wake walishindwa kumpa malezi mazuri.
 
Master[emoji119][emoji119]
 
Mpaka leo uko nae huyo manka?
 
Kuoa mwanamke asiye bikra mahari ni bure ama aftatu.

Haiwezekani mwingine amtoe bikra kwa chips kavu za buku halafu mie nije nilipishwe mahari kubwa.

Hata mwenye bikra tu mahari yake isizidi elfu 50. Zaidi ya hapo kila mtu apite hivi.
 
Mzee pisi kali ni kwako tu.

Halafu mahali unaweza kutajiwa hata milioni mia ila maongezi yapo.

Sijui kwanini ulijitetea namna hiyo, binafsi huo ujinga wa kujitetea eti nilifanya hiki na hiki siwezi.

Ulikua unampa kwakua unampenda au ulikua unamnunua??
 
Sasa ng'ombe wanne si zaidi ya milioni 4?

Ndiyo utakuwa umekwepa nini hapo?

Mahari ya mwanamke uliyemkuta bikra icheze kwenye afu 50 na kama hukumkuta bikra ni afu 10 hadi 20.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kaka yangu,


Wewe heshimu Mila na destury za babu zetu.

Mzarau Mila ni utumwa. Sisi sio wazungu.

Unaweza usilipe mahari na pia ukawa mnyanyasaji Kwa mke
Baba yangu hakumdai mahari mume wa dada yangu.
Sitadai mahari kwa binti zangu.
Na utakuwa ugomvi kati yangu na atakaye oa binti yangu na kumpiga kwa kosa lolote like.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…