Nimeona uzi humu, ukanikumbusha hali inayonitokea, je niko mwenyewe?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Asante stakehigh kwa kutukumbusha kuhusu Afya.

Mimi huwa nafanya mazoezi, najali lishe na si mpenzi wa sukari. Siongezi sukari kwenye chai, kahawa, juisi wala situmii soda au chochote chenye sukari nyingi.

Tatizo ni nikiwa na hamu ya kupewa tendo la ndoa na inabidi niisubirie labda mhusika amesafiri au niko period huwa najikuta natamani na nakula sana kula vitu vya sukari nyingi na naskip mazoezi kabisa, kiufupi self control inakua haipo kabisa.

Niko peke yangu ambaye napatwa na hali hii au huwa inawatokea na wengine?

Kama si sukari, wewe ukiwa na hamu ya tendo la ngono / ny£g£ huwa unatamani vitu gani vingine mbali na mizagamuano?
 
You need a salty dick like mine to cure your condition
Vile nimecheka, jamani 😂😂😂😂 unajua niko siriazi eti 🤭

giphy.gif
 
Asante stakehigh kwa kutukumbusha kuhusu Afya.

Mimi huwa nafanya mazoezi, najali lishe na si mpenzi wa sukari. Siongezi sukari kwenye chai, kahawa, juisi wala situmii soda au chochote chenye sukari nyingi.

Tatizo ni nikiwa na hamu ya kupewa tendo la ndoa na inabidi niisubirie labda mhusika amesafiri au niko period huwa najikuta natamani na nakula sana kula vitu vya sukari nyingi na naskip mazoezi kabisa, kiufupi self control inakua haipo kabisa.

Niko peke yangu ambaye napatwa na hali hii au huwa inawatokea na wengine?

Kama si sukari, wewe ashki / ny£g£ zako huwa zinakufanya utamani vitu gani vingine mbali na mizagamuano?
Hizo sio nyege, ni stress hizo zinakusumbua
 
Back
Top Bottom