Muone Dr MaukiInawezekana, naziondoaje?
Muone Dr MaukiInawezekana, naziondoaje?
Asante stakehigh kwa kutukumbusha kuhusu Afya.
Mimi huwa nafanya mazoezi, najali lishe na si mpenzi wa sukari. Siongezi sukari kwenye chai, kahawa, juisi wala situmii soda au chochote chenye sukari nyingi.
Tatizo ni nikiwa na hamu ya kupewa tendo la ndoa na inabidi niisubirie labda mhusika amesafiri au niko period huwa najikuta natamani na nakula sana kula vitu vya sukari nyingi na naskip mazoezi kabisa, kiufupi self control inakua haipo kabisa.
Niko peke yangu ambaye napatwa na hali hii au huwa inawatokea na wengine?
Kama si sukari, wewe ashki / ny£g£ zako huwa zinakufanya utamani vitu gani vingine mbali na mizagamuano?
sana yani 🙃😁NOMA SANA.....
🥃🥃🥃🥃Umechelewa kugundua , mimi ukinikuta na masela zangu wa pombe kina Dr am 4 real PhD ni dam dam.
Si kweli hao wote kaka zangu tunaheshimiana 😎Hizo zote ni I'd zako
Fafanua kwa Nini ?? Mkuu maana umetumia AMBIGUOUS LANGUAGENyege ni ugonjwa wa kukosa hela
🤔🤔😢Asante kwa kunikumbusha, ila kwa sababu amefilisika, siku hizi sitaki kumtag 😎
Elimu haina mwisho mkuu 📌Nilijua nimeshajifunza vyote, kumbe elimu ni bahari 😂😂
🤔🤔🤔Umesahau I'd yako nyingine moja Kijana Masikini
Madaktari wa falsafa naona mnaulizana, haya acha tutege sikio tujifunzeFafanua kwa Nini ?? Mkuu maana umetumia AMBIGUOUS LANGUAGE
Mkuu unavyoandika Kwa kujiamini kumbe unamwandikia dume mwenzako.You need a salty dick like mine to cure your condition
Unajua mdada ukisema nyege unatupa vidume kipururu chaghafla?Siyo ndiyo nitaongeza matatizo.
Nyege + uraibu = mbona kama itakua hatari kubwa!
Hapana, lakini labda ukinivurugia makange nitaacha kutamani sukari.Lala choo cha soko siku moja inatosha
Kabisa hakuna kulaza damu🥃🥃🥃🥃
Weekend 😃 😁 😃 😁 😃 NDEEEFUUU inaanzaa ni mwendo wa shoka moja mbuyu chiniii
Busu la kenge, mimi siyo dume, usinichokonoe bado mapema, weekend ndiyo kwanza imeanza.Mkuu unavyoandika Kwa kujiamini kumbe unamwandikia dume mwenzako.
So sad!
Ujana bado, I don't feel my age kabisa!Wewe bado hujamaliza ujana, bado wa moto sana.
Kwahiyo kama nina hela zangu na bado ninapata hamu ya kutaka kukojozwNyege ni ugonjwa wa kukosa hela
hiyo inaitwaje?Nipe Dr. Mwingine, huyo hanivutiiMuone Dr Mauki
Keupe ndio pombe gani tena bwasheeUnakunywa,keupe?