Nimeonana naye mara moja miezi miwili iliyopita, ghafla anataka nimpatie pesa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake.

Na ana mtoto. Jana tu out of nowhere anatuma msg nimpatie tsh 300,000. Hivyo tu. Na ana fanya kazi. Sasa sijui ameniona mimi tutusa? Nami nina mchanganyiko na Mpare kama yeye Mchaga. Aiseee...wote tunaijua pesa... Na bado sijamwomba hata papuchi. Wala sijagusa. Akili wanapeleka wapi hawa nyauz?

 
Umewekwa friendzone na dhamani yake kwako ndio hiyo, nashangaa why una wasiliana nae kama amekwambia ana jamaa wake ana ana mtoto
 
Hakuna haja ya kuwapa hela hawa funguro; ninalo langu nimelipa hela toka nilioe 2005, ila nikaja gundua wanaligegeda, nikalifyekelea huko! Kamwe halitaona 10 cents zangu Mbwa!
 
Gentleman,
mbona its very simple issue na unaicomplecate sana?

kama unalo hilo salio na una moyo wa nyama kweli , si umpatie tu mbona yaishe kwa amani, na mbona ni pesa kidogo sana gentleman?

laa, hauna hiyo pesa, si umueleze tu bayana kinagaubaga, kwamba kwa mazingira magumu ya kiuchumi unayopitia katika maisha, na uzito wa uchumi unavyo sagasaga watu, hususan wavivu kwa sasa..

nadhan huo utakua ni ungwana na ustaarabu wa kiwango cha juu sana, na for sure atakufurahia zaidi 🐒
 
Shida iko wapi? Ungejibu sina halafu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…