Nimeonana naye mara moja miezi miwili iliyopita, ghafla anataka nimpatie pesa

Nimeonana naye mara moja miezi miwili iliyopita, ghafla anataka nimpatie pesa

Mimi Naona Bora USITONGOZE TU MWANAMKE UWE NKENJA ila kuleta lawama kama Hizi ni kwamba dhahili kabisa Uzinzi huuwezi bora UOKOKE umpokee YESU KRISTO
Mimi kama sina mpango wa kutumia pesa sichukua namba ya mwanamke.

Wanabaki wananimezea mate tu jinsi ninavyopiga pamba na Mgari wangu wa kung'aa napita hivi napite vile.

Sitakagi ujinga.
 
Ilimradi tu yaani nae aanzishe uzi kuponda wanawake! Ukute na msg kajitumia.
Daah...nyie majizi. Hujalazimishwa kusoma. Lazima tushtuane sisi wanaume wabahili na kukumbushana. Mimbwa kama hii hatuipi pesa. Tutawapa wazazi wetu.... Hampati kitu nyie mbwah kokoh
 
Umenikumbusha wimbo fulani wa Harmonize aliimba " kuhonga kubaya kama Huna hela lakini kwa wenye hela ni suna"
 
Daah...nyie majizi. Hujalazimishwa kusoma. Lazima tushtuane sisi wanaume wabahili na kukumbushana. Mimbwa kama hii hatuipi pesa. Tutawapa wazazi wetu.... Hampati kitu nyie mbwah kokoh
Sasa wewe uliyetongoza mbwa tukuiteje? Sawa mtoto wa mbwa.
 
hakuna kitu slay queen anapenda kuona kama INGIZA KIASI haswa kwenye TIGO yake atatoa JICHO kwa FURAHA huyo mpaka baas. akitaka umpe hiyo pesa awe tayari kulipa GHARAMA kwa namna yoyote, vinginevyo amekuona muimbaji wa JINGA JINGA JAZZ BAND.
 
Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake.

Na ana mtoto. Jana tu out of nowhere anatuma msg nimpatie tsh 300,000. Hivyo tu. Na ana fanya kazi. Sasa sijui ameniona mimi tutusa? Nami nina mchanganyiko na Mpare kama yeye Mchaga. Aiseee...wote tunaijua pesa... Na bado sijamwomba hata papuchi. Wala sijagusa. Akili wanapeleka wapi hawa nyauz?

View attachment 3142792
Nimecheka sana kwa topic yako hii uloanzisha.

Mwanaume mpaka ukajua kutongoza na kupewa mi promise na miappointment kibao, unakuwa hauijui tu saikolojia ya wanawake?

Uzinzi wa aina yoyote na kwa namna yoyote utakavyouita na kuubariki wewe: iwe mpenzi, nyumba ndogo, hawara, mchepuko, mlupo nk nk ni biashara moja yenye majina mengi mweshimiwa.

Kwa msg hiyo uliyotumiwa, iko hivi:
Hapo huyo mwanamke alishatengeneza 'group' la mahawara zake pamoja na mahawara watarajiwa.

Anachokifanya, anahariri msg yake moja tu, kisha anairusha kwenye group.

Ni kama mfuga mbwa anavyokuja na marapurapu na kuwarushia mbwa wake na kisha kusikiliza na kufurahia kuona namna wanavyogambania😁😃😜.

Sasa nyie wahusika wake na wahusika tarajali, kundi zima mliorushiwa msg hiyo, kila mmoja wenu atajibu kwa uzito anaousikia yeye, kama ambavyo umereact wewe kwa namna yako.

wapo watakaotuma na ya kutolea kimya kimya, wapo watakaotoa ahadi, wapo watakaopiga simu ama sms ya kujitetea ili kumridhisha ili wasimuudhi nk nk.

Kwa hiyo mkuu, mambo kama hayo yaweke kwenye ziada ya mwisho kabisa kwenye maisha yako, yasikupe shida kuyawaza maana hayana tija yoyote kwako na hakuna hasara utakayoipata ukiyaacha.

Usije ukamchukia wala kumlaumu mwanamke asiye mkeo kwa mambo kama hayo, ni mchezo wa akili tu huo hautaki lawama.

Ushawahi kucheza mchezo wa draft?
 
sadaka tu hioo mkuu wakati mwingine atuwapendi sema wake zetu wanasababisha inabidi iwe hivyo
 
Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake.

Na ana mtoto. Jana tu out of nowhere anatuma msg nimpatie tsh 300,000. Hivyo tu. Na ana fanya kazi. Sasa sijui ameniona mimi tutusa? Nami nina mchanganyiko na Mpare kama yeye Mchaga. Aiseee...wote tunaijua pesa... Na bado sijamwomba hata papuchi. Wala sijagusa. Akili wanapeleka wapi hawa nyauz?

View attachment 3142792
Anaomba advance kabisa ila parefuu mshahara wangu mie huo!
 
Back
Top Bottom