Nimeonana naye mara moja miezi miwili iliyopita, ghafla anataka nimpatie pesa

Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake.

Na ana mtoto. Jana tu out of nowhere anatuma msg nimpatie tsh 300,000. Hivyo tu. Na ana fanya kazi. Sasa sijui ameniona mimi tutusa? Nami nina mchanganyiko na Mpare kama yeye Mchaga. Aiseee...wote tunaijua pesa... Na bado sijamwomba hata papuchi. Wala sijagusa. Akili wanapeleka wapi hawa nyauz?

View attachment 3142792
Pale juu naona Lymo....nimeshtuka kama sio demu wangu nikakumbuka wa kwangu ana ubini Tarimo
 
Screenshot_20241103-213605.jpg

Fuc(k) bitc(hes).

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake.

Na ana mtoto. Jana tu out of nowhere anatuma msg nimpatie tsh 300,000. Hivyo tu. Na ana fanya kazi. Sasa sijui ameniona mimi tutusa? Nami nina mchanganyiko na Mpare kama yeye Mchaga. Aiseee...wote tunaijua pesa... Na bado sijamwomba hata papuchi. Wala sijagusa. Akili wanapeleka wapi hawa nyauz?

View attachment 3142792
Hioo picha tyu
 
haya mambo ndio tunakimbilia kwamwamposa kila siku yatuepuke woii
 
Back
Top Bottom