Nimeonana naye mara moja miezi miwili iliyopita, ghafla anataka nimpatie pesa

Nimeonana naye mara moja miezi miwili iliyopita, ghafla anataka nimpatie pesa

Mimi Naona Bora USITONGOZE TU MWANAMKE UWE NKENJA ila kuleta lawama kama Hizi ni kwamba dhahili kabisa Uzinzi huuwezi bora UOKOKE umpokee YESU KRISTO

huyu jamaa aje kwa Yesu aokolewe bure. Hajui vya ibilisi huwa vinapatikana kwa gharama!!!!?

JESUS is Savior
 
Bob. Wapi nimesema mimi nimetongoza?sijatongoza hata. Unanionea tu. Nkenja ndo nini?

kama hujamtongoza ataanzaje kukuomba pesa, wewe ni baba yake?

kuna kutongoza by conduct sio hadi maneno.

NJOO KWA YESU UOKOLEWE, uupate wokovu bwerere kabisa
 
Acheni kutoa hela kwa watu ambao si wake zetu, acheni kutongoza, acheni kuentertain wanawake . Mkitupa miaka mitano tu Kila mtoto wa kike ambaye hayuko kwenye uangalizi wa wazazi atajua cha kufanya na maisha yake na kutumia anachoingiza.

Tutatengeneza kizazi bora cha wanawake watafutaji ili tunyooshane vizuri .

Zaidi sana mapenzi watafanya wanaopendana tu, au mnaonaje?

Halaaaaaa (kwa sauti ya mwijaku) 😂
Mwanaume hawezi kuishi bila kutongoza, mwanaume hawezi kuishi na mwanamke mmoja tu.

Kuna jamaa aliwahi kuniambia pamoja na maisha yake magumu ila ametenga fungu la lodge na uchakavu kila mwezi, yaani once kwa mwezi lazima ale kitu mpya na kuilipa...

Baltasar sio mtu mzuri😂
 
Sasa unaona Legend?

Wanawake wanalaumiwaje sasa? Kama mtu amekupenda asikukubali? Kama umebid dau kubwa mtu asikubali? Na wakikataa wote itakuwaje?

Kinachonichekesha na story za humu ni kuwa mtu anakutongoza ukishakubali anaruka kimanga ati sijakushikia fimbo! Ndio nimekubali sababu labda nimekupenda au nimeshindwa kuvuka kizingiti, Nalaumiwa na nini sasa!
 
Kaomba 300k hapo target yake hata ukikosa basi umpe hata 100k.

Kwani in Tv Ndani?
Unajichanganya unamtumia iyo 100k, kumbe aliombwa na msela wake mwengine anayemuelewa, Hela inaenda kwa msela..... Wanawake sio poa mzee🙌
 
Sasa unaona Legend?

Wanawake wanalaumiwaje sasa? Kama mtu amekupenda asikukubali? Kama umebid dau kubwa mtu asikubali? Na wakikataa wote itakuwaje?

Kinachonichekesha na story za humu ni kuwa mtu anakutongoza ukishakubali anaruka kimanga ati sijakushikia fimbo! Ndio nimekubali sababu labda nimekupenda au nimeshindwa kuvuka kizingiti, Nalaumiwa na nini sasa!
Shida kubwa ya Me ni kuwa we want to eat our cake and have it. Ndio maana unatuona tunaumia namna hii, tukibaniwa miguu amini nakuambia sisi ndio wa kwanza kulalamika, tukipewa kirahisi tutakuwa wa kwanza kulalamika...
 
Back
Top Bottom