Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake.
Na ana mtoto. Jana tu out of nowhere anatuma msg nimpatie tsh 300,000. Hivyo tu. Na ana fanya kazi. Sasa sijui ameniona mimi tutusa? Nami nina mchanganyiko na Mpare kama yeye Mchaga. Aiseee...wote tunaijua pesa... Na bado sijamwomba hata papuchi. Wala sijagusa. Akili wanapeleka wapi hawa nyauz?
View attachment 3142792
Nimecheka sana kwa topic yako hii uloanzisha.
Mwanaume mpaka ukajua kutongoza na kupewa mi promise na miappointment kibao, unakuwa hauijui tu saikolojia ya wanawake?
Uzinzi wa aina yoyote na kwa namna yoyote utakavyouita na kuubariki wewe: iwe mpenzi, nyumba ndogo, hawara, mchepuko, mlupo nk nk ni biashara moja yenye majina mengi mweshimiwa.
Kwa msg hiyo uliyotumiwa, iko hivi:
Hapo huyo mwanamke alishatengeneza 'group' la mahawara zake pamoja na mahawara watarajiwa.
Anachokifanya, anahariri msg yake moja tu, kisha anairusha kwenye group.
Ni kama mfuga mbwa anavyokuja na marapurapu na kuwarushia mbwa wake na kisha kusikiliza na kufurahia kuona namna wanavyogambania😁😃😜.
Sasa nyie wahusika wake na wahusika tarajali, kundi zima mliorushiwa msg hiyo, kila mmoja wenu atajibu kwa uzito anaousikia yeye, kama ambavyo umereact wewe kwa namna yako.
wapo watakaotuma na ya kutolea kimya kimya, wapo watakaotoa ahadi, wapo watakaopiga simu ama sms ya kujitetea ili kumridhisha ili wasimuudhi nk nk.
Kwa hiyo mkuu, mambo kama hayo yaweke kwenye ziada ya mwisho kabisa kwenye maisha yako, yasikupe shida kuyawaza maana hayana tija yoyote kwako na hakuna hasara utakayoipata ukiyaacha.
Usije ukamchukia wala kumlaumu mwanamke asiye mkeo kwa mambo kama hayo, ni mchezo wa akili tu huo hautaki lawama.
Ushawahi kucheza mchezo wa draft?