Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Mimi Naona Bora USITONGOZE TU MWANAMKE UWE NKENJA ila kuleta lawama kama Hizi ni kwamba dhahili kabisa Uzinzi huuwezi bora UOKOKE umpokee YESU KRISTO
Bob. Wapi nimesema mimi nimetongoza?sijatongoza hata. Unanionea tu. Nkenja ndo nini?
Mwanaume hawezi kuishi bila kutongoza, mwanaume hawezi kuishi na mwanamke mmoja tu.Acheni kutoa hela kwa watu ambao si wake zetu, acheni kutongoza, acheni kuentertain wanawake . Mkitupa miaka mitano tu Kila mtoto wa kike ambaye hayuko kwenye uangalizi wa wazazi atajua cha kufanya na maisha yake na kutumia anachoingiza.
Tutatengeneza kizazi bora cha wanawake watafutaji ili tunyooshane vizuri .
Zaidi sana mapenzi watafanya wanaopendana tu, au mnaonaje?
Halaaaaaa (kwa sauti ya mwijaku) 😂
Sasa unaona Legend?Mwanaume hawezi kuishi bila kutongoza, mwanaume hawezi kuishi na mwanamke mmoja tu.
Kuna jamaa aliwahi kuniambia pamoja na maisha yake magumu ila ametenga fungu la lodge na uchakavu kila mwezi, yaani once kwa mwezi lazima ale kitu mpya na kuilipa...
Baltasar sio mtu mzuri😂
Unajichanganya unamtumia iyo 100k, kumbe aliombwa na msela wake mwengine anayemuelewa, Hela inaenda kwa msela..... Wanawake sio poa mzee🙌Kaomba 300k hapo target yake hata ukikosa basi umpe hata 100k.
Kwani in Tv Ndani?
Mi kwa kawaida nikashaona mtu iwe ke au me anaweka herufi x kwny s. Naona bado ana akili za kitoto na hajielewi. Uyo tupilia mbali 🚮
Shida kubwa ya Me ni kuwa we want to eat our cake and have it. Ndio maana unatuona tunaumia namna hii, tukibaniwa miguu amini nakuambia sisi ndio wa kwanza kulalamika, tukipewa kirahisi tutakuwa wa kwanza kulalamika...Sasa unaona Legend?
Wanawake wanalaumiwaje sasa? Kama mtu amekupenda asikukubali? Kama umebid dau kubwa mtu asikubali? Na wakikataa wote itakuwaje?
Kinachonichekesha na story za humu ni kuwa mtu anakutongoza ukishakubali anaruka kimanga ati sijakushikia fimbo! Ndio nimekubali sababu labda nimekupenda au nimeshindwa kuvuka kizingiti, Nalaumiwa na nini sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa inatuhusu nini? Mlikojuliana tulikuwepo?