Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Sawa ahsanteSoon unaenda kuwa kama wao, fanya urudi mjini.
Game changer bila capital bro?Kinachowakuta hao ni Kuridhika kwenye comfort zone
Ila Unaweza kuwa game changer hapo kwenu
Nilipo hakuna mamba wala hakuna mtoUsitukane Mamba kabla haujavuka mto.
Hiyo shahada?Nguvu na utimamu wa mwili?Rasilimali zilizowazunguka kuzigeuza kuwa fursa?Game changer bila capital bro?
Unataka nani akupe hiyo capital mkuu ?Game changer bila capital bro?
capita gani tena unataka? una bachelor degree, bado kijana mdogo ndio kwanza umemaliza shule, kuna watu ulikutana nao chuo wenye michongo, kuna watu ulikutana nao ulipoende field wana michongo....unaacha michongo mjini unarudi kijijini alafu unawashangaa wenzako hawajapiga hatua yoyote, kaa nao hapo mwaka mmoja usipoanza kuvuta nao tumbaku ya kusokota kwenye gazeti na kunywa mataputapu....alafu mwenzako uliyesoma naye bachelor kama alibaki mjini kupambana na ametoboa akirudi anakushangaa na weweGame changer bila capital bro?
Basi kutakuwa na vumbi. Waliokutangulia hauwezi kuwaona!!!Nilipo hakuna mamba wala hakuna mto
Kwa hiyo ajaribu tena baadaye?Basi kutakuwa na vumbi. Waliokutangulia hauwezi kuwaona!!!
Over!!!Kwa hiyo ajaribu tena baadaye?