Nimeondoka Kijijini kwetu (Wilayani) 2014 nimerudi 2026, ila vijana wapo vilevile hakuna Maendeleo

Nimeondoka Kijijini kwetu (Wilayani) 2014 nimerudi 2026, ila vijana wapo vilevile hakuna Maendeleo

Ngozi nyeusi maendeleo yao ni kupata ela ya kula, ngono na anasa ni wachache sana wanatusua kibiashara au kupata ajira
wazawa wengi wanaishi kimazoea hawana haraka ya maisha, mara nyingi wageni ndio wanafanya sehemu ichangamke
zipo sehemu ukiwa na maendeleo utarogwa hadi ufe
 
Fursa za kiuchumi kijijini ni chache sana, ndiyo maana wengi wanakimbilia mijini
 
Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada

Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa

Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao?

Au nihame nikatafute mbali?
Inachekesha sana, Kwa hiyo umeenda kuji compare na lay people? Kweli ww sio msomi
 
Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada

Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa

Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao?

Au nihame nikatafute mbali?
Ila usisahau wao wameoa/kuolewa na wana watoto na familia wewe huna.
 
Back
Top Bottom