Nimeonesha msimamo wa ajabu wa kutisha. Hajaamini kabisa mpaka sasa

Nimeonesha msimamo wa ajabu wa kutisha. Hajaamini kabisa mpaka sasa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Yeye akiwa na shida anaomba nimsaidie pesa. Namsaidia. Mimi nikiwa na shida. Anataka anipe kipapiro/papuchi. Ambacho hicho anacho yeye all the time so haingii gharama. Eti ndo mapenzi ndo sadaka.

Sadaka ni kutoa kitu kinachokuuma ambacho unapoteza. Siyo kuoffer kitu ambacho unacho tu kinabaki kama kilivyo.

Sasa na yeye kaja anasema ana mawazo kuna pesa anadaiwa kama mil 4. Anajisemesha semesha toka juzi. Leo kaja tuongee ... Nami nikampa mjegejo ahangaike nao. Nikamchapa nao hasa. Nilisugua kipapiro chake, sugua adriz aka ritz yake. Akawa hoi.

Sasa anaondoka ananiambi ntamsaidiaje kwenye hiyo Mil 4 jumatatu anatakiwa awe nayo. Nikamwambia kwa kweli sina msaada. Akashtuka.....

"Heeeeeh sasa kumbe si ungeniambia toka muda ule... Umeni**mber najua utanipatia kumbe hamna kitu"

Nikamwambia nlikuwa nampa faraja maana nami mwaka jana mwezi wa 5 nlikuja Tz nikawa nimekwama pesa flani ilichelewa nikaenda kwake aniazime. Maana nlikuwa na stress gari zipo bandarini 3 natakiwa nitoe nimepungukiwa tsh Mil 8 tu. Akaishia kunipa papuchi na kisses.

Na pesa alikuwa nazo coz alitoka pokea mkopo Milion 80. Kuniazima tu mil 8 akaona ngumu. Akanipa papuchi. Sasa leo naye yamemkuta anaona kama sijamtendea haki. Nami nimempatia mjegejo kama ambavyo ye hunipatia kipapiro.

Anasema kaja na mawazo,stress na msongo wa mawazo ameishia tu kubemendwa, kuliwa na kupewa pole.imemuuma sana. Kuwa kipindi anakatikia aliamini anatoa ushirikiano ambao utamsaidia.kumbe nmemkanyaga bure tu.

Basi tumezozana nimemsindikiza kapanda garini kaondoka kwa hasira. Ngoka draw. Kwa sasa nakulipa unachonitendea no more no less.
 
Sue her, sue her 🐱, sue all commenters in fact sue eveybody!🫢
 
Back
Top Bottom