Nimeota Jean Baleke atafunga goli la kwanza zuri Uzinduzi wa AFL, japo pia ataumia. Nitaumia sana

Jamani sio kwa hiari yangu ila Baleke atatupa bonge la vibe kwa goli lake na pia ataumia, na ndoto imeonesha Simba tutavaa Uzi mweupe, na tutaupiga Moira mwingi sana, ndoto imeninyima fursa ya kujua hilo vibe ni goli tu au matokeo ya mechi kwa ujumla.

Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa.

Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana.

Shukrani 🙏🙏🙏
Ndio maana ikawa ndoto mkuu
 
Mkuu kama umeota tumevaa jezi nyeupe itakuwa umeota game ya pili kule Cairo
Nimefurahi kujua kumbe ya pili away tukiwa Cairo Jean Baleke atafunga bao zuri
 
Hawezi kuwafunga waarabu hayupo sharp sanaa labda kibud, na Bocco Akianza tumekwisha, waarabu wanacheza kwa spidi kubwa na watu hatari kule mbele one chance one goal, mtu kama Percy Tau anakufunga saa yoyote kutokea popote kwenye penalty box, inabidi chance zote tutakazopata tuzitumie vizuri ili kupata matokeo, na hapa tunahitaji sharp striker
 
Na golini asianze Yule kipa mzungu
 
Mpira dkk 90. Ninachowakubali simba, hawakubali kufungwa kizembe. Matokeo tu, ndiyo yanayoamuaga
 
Hawezi kuwafunga waarabu hayupo sharp sanaa labda kibud, na Bocco Akianza tumekwisha, waarabu wanacheza kwa spidi kubwa na watu hatari kule mbele one chance one goal, mtu kama Percy Tau anakufunga saa yoyote kutokea popote kwenye penalty box, inabidi chance zote tutakazopata tuzitumie vizuri ili kupata matokeo, na hapa tunahitaji sharp striker
Eti anakufunga saa yoyote kutokea popote,kwa sifa hizo si angekuwa Man City huko?? unajiona mjuaji kumbe UHARO tu,Mpira ni mchezo wa makosa,full stop
 
Eti anakufunga saa yoyote kutokea popote,kwa sifa hizo si angekuwa Man City huko?? unajiona mjuaji kumbe UHARO tu,Mpira ni mchezo wa makosa,full
Tatizo unaleta lugha zisizo za kiungwana, anayejua soka anaelewa kwamba Percy Tau ni striker hatari, Simba ni timu yetu lazima tuiongelee kiuhalisia ili tupige hatua mbele zaidi. Tau hayupo daraja moja na Bocco, Baleke wala Phiri. Pamoja na ushabiki lazima tuangalie uhalisia.
 
Jamani sio kwa hiari yangu ila Baleke atatupa bonge la vibe kwa goli lake na pia ataumia, na ndoto imeonesha Simba tutavaa Uzi mweupe, na tutaupiga Moira mwingi sana, ndoto imeninyima fursa ya kujua hilo vibe ni goli tu au matokeo ya mechi kwa ujumla.

Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa.

Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana.

Shukrani [emoji120][emoji120][emoji120]
Mechi ikiisha hatutaki kusikia Robertinho out.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nahisi Phiri atafunga akipokea pasi kwa Konde boy
wote hao hawataanza...watakaongia dk ya 70 ni Konde akichukua nafasi ya KIBU pamoja na Baleke akichukua nafasi ya BOKO

Watakaonza
Mbele atasimama BOKO
Mbele kulia - CHAMA kati TIBANZOKIZA na kushoto KIBU.
Dimba la Kati - MZAMIRU na Mido ticha NGOMA
Beki Kushoto SHABALALA Kati INONGA na CHE MALONE na Kulia KAPOMBE
Kipa Tanzania one - MANURA
 
Back
Top Bottom