Nimeota Jean Baleke atafunga goli la kwanza zuri Uzinduzi wa AFL, japo pia ataumia. Nitaumia sana

Nimeota Jean Baleke atafunga goli la kwanza zuri Uzinduzi wa AFL, japo pia ataumia. Nitaumia sana

Jamani sio kwa hiari yangu ila Baleke atatupa bonge la vibe kwa goli lake na pia ataumia, na ndoto imeonesha Simba tutavaa Uzi mweupe, na tutaupiga Moira mwingi sana, ndoto imeninyima fursa ya kujua hilo vibe ni goli tu au matokeo ya mechi kwa ujumla.

Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa.

Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana.

Shukrani [emoji120][emoji120][emoji120]

Ishu ni kuwa kocha wako anaweza kuanza na bocco mi ndio huwa nachoka hapo aisee
 
Back
Top Bottom