Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ndio maana ikawa ndoto mkuuJamani sio kwa hiari yangu ila Baleke atatupa bonge la vibe kwa goli lake na pia ataumia, na ndoto imeonesha Simba tutavaa Uzi mweupe, na tutaupiga Moira mwingi sana, ndoto imeninyima fursa ya kujua hilo vibe ni goli tu au matokeo ya mechi kwa ujumla.
Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa.
Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana.
Shukrani πππ
Ndio na nimeshangaa sana na kitambo sijazungumzia wa kusoma ishu za mpira, ndoto zangu kuna asilimia huwa zinatokea japo sio must sanaUmeota mchana?
Na golini asianze Yule kipa mzunguHawezi kuwafunga waarabu hayupo sharp sanaa labda kibud, na Bocco Akianza tumekwisha, waarabu wanacheza kwa spidi kubwa na watu hatari kule mbele one chance one goal, mtu kama Percy Tau anakufunga saa yoyote kutokea popote kwenye penalty box, inabidi chance zote tutakazopata tuzitumie vizuri ili kupata matokeo, na hapa tunahitaji sharp striker
Eti anakufunga saa yoyote kutokea popote,kwa sifa hizo si angekuwa Man City huko?? unajiona mjuaji kumbe UHARO tu,Mpira ni mchezo wa makosa,full stopHawezi kuwafunga waarabu hayupo sharp sanaa labda kibud, na Bocco Akianza tumekwisha, waarabu wanacheza kwa spidi kubwa na watu hatari kule mbele one chance one goal, mtu kama Percy Tau anakufunga saa yoyote kutokea popote kwenye penalty box, inabidi chance zote tutakazopata tuzitumie vizuri ili kupata matokeo, na hapa tunahitaji sharp striker
Tatizo unaleta lugha zisizo za kiungwana, anayejua soka anaelewa kwamba Percy Tau ni striker hatari, Simba ni timu yetu lazima tuiongelee kiuhalisia ili tupige hatua mbele zaidi. Tau hayupo daraja moja na Bocco, Baleke wala Phiri. Pamoja na ushabiki lazima tuangalie uhalisia.Eti anakufunga saa yoyote kutokea popote,kwa sifa hizo si angekuwa Man City huko?? unajiona mjuaji kumbe UHARO tu,Mpira ni mchezo wa makosa,full
Mechi ikiisha hatutaki kusikia Robertinho out.Jamani sio kwa hiari yangu ila Baleke atatupa bonge la vibe kwa goli lake na pia ataumia, na ndoto imeonesha Simba tutavaa Uzi mweupe, na tutaupiga Moira mwingi sana, ndoto imeninyima fursa ya kujua hilo vibe ni goli tu au matokeo ya mechi kwa ujumla.
Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa.
Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana.
Shukrani [emoji120][emoji120][emoji120]
wote hao hawataanza...watakaongia dk ya 70 ni Konde akichukua nafasi ya KIBU pamoja na Baleke akichukua nafasi ya BOKOMimi nahisi Phiri atafunga akipokea pasi kwa Konde boy