technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Nimeota ndoto kubwa sana kwamba namba nne Hana makucha Tena
Ndoto ilienda mbali zaidi kuwa nguvu zimebaki kwa mtoto wa namba sita.
Ndoto ikaenda mbali zaidi kuwa namba nne alitaka aweke mtoto wake pale kwenye namba mbili na amegonga mwamba.
Kibaya zaidi mtoto wa namba sita ndiye mkuu wa idara nyeti Sasa hivi na ndiye atakuwa anaendesha idara zote mbili yaani idara nyeti na ofisi namba mbili.
Nimejiridhisha kwa kutumia ndoto kuwa namba nne maelekezo yake mengi kibiashara ndio yanayofanyiwa kazi lakini kiutawala anakula za uso.
Ni ndoto tu labda nilishiba Sana.