Nimeota nipo nje ya mwili wangu, ndoto hii inamaana gani?

Yaani kwa mfano mtu umevuta bangi Kali ile ya kisimiri haujala ukashiba,stress zimejaa kichwani,madeni,nchi ilivyo,ngono Kila mara,mirungi, visungura,ugoro,energy drinks na maandazi ya bakresa,uchovu!

Vitu kama hivi lazima uone na ukiwa unaweza mambo za uchawichawi unaweza Rudi kwako jioni ukaona shati ulilofua ukatundika kwako ni jini
 
Hivi Majuzi niliona nimeamka kutoka usingizini lakini cha kushangaza nilijiona bado nipo kitandani nimelala.

nilijaribu kujiamsha lakini sikuamka, basi nikapotezea. Nikaamua nitoke nje niende dukani nikanunue Azam Energy lakini cha kushangaza kila nikipiga hatua siendi popote.
Nikachanganikiwa! nikajaribu kujiamsha lakini wapi.

akili ikanijia labda Mimi ni nafsi inatakiwa nilale juu ya mwili ili niingie ndani ndio ntaamka.

Basi nikafanya hivyo lakini cha kushangaza!, sikuwa nafsi nilikuwa na Mwili kama ule uliolala kitandani.

Nikatumia sana nguvu kuingia ndani lakini ilishindikana basi nikaamua kulala pengeni ya ule mwili mwingine kwasababu nilikuwa siwezi kwenda popote.

Nimetafakari sana hii ndoto bila majibu.
Wewe ushachukuliwa msukule. Sasa ambia watu wako wap umeweka pesa maana hutoboi. Nasisitiza wewe ni msukule! Au umeanza kuvuta bangiii ukubwani
 
Hivi Majuzi niliona nimeamka kutoka usingizini lakini cha kushangaza nilijiona bado nipo kitandani nimelala.

nilijaribu kujiamsha lakini sikuamka, basi nikapotezea. Nikaamua nitoke nje niende dukani nikanunue Azam Energy lakini cha kushangaza kila nikipiga hatua siendi popote.
Nikachanganikiwa! nikajaribu kujiamsha lakini wapi.

akili ikanijia labda Mimi ni nafsi inatakiwa nilale juu ya mwili ili niingie ndani ndio ntaamka.

Basi nikafanya hivyo lakini cha kushangaza!, sikuwa nafsi nilikuwa na Mwili kama ule uliolala kitandani.

Nikatumia sana nguvu kuingia ndani lakini ilishindikana basi nikaamua kulala pengeni ya ule mwili mwingine kwasababu nilikuwa siwezi kwenda popote.

Nimetafakari sana hii ndoto bila majibu.
Huwa inashauriwa ukiota ndoto usimwambie mtu
 
huyu anatuchosha akili kumbe ni mdau kindakindaki wa Azam energy...mkuu acha hayo makitu utakufa unatembea
 
Back
Top Bottom