Nimeota nipo nje ya mwili wangu, ndoto hii inamaana gani?

Nimeota nipo nje ya mwili wangu, ndoto hii inamaana gani?

Hiyo siyo ndoto, ni kitu cha kweli kimekutikea, na ni watu wachache sana ukiwemo wewe hukumbuka na kuelezea hiyo hali. Watu wenye elimu ya Metaphysics watakuja kukujuza vizuri zaidi. Hili jambo lipo na ni la kawaida sana.
 
Mda si mrefu, ila kifo chako hakitakuwa cha kawaida, inaonekana utachukuliwa msukule na ndugu watazika tu kitu chenye mfano wa mwili wako. Ongeza maombi, pia unaweza ni PM kwa ajili ya maombi zaidi na sadaka. Amen
Fursa chap ishapatikana
 
Back
Top Bottom