Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ndugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo
Nimeota gari la askari limepata ajali, wakafariki askari wengi sana. Basi watu walioshuhudia ajali ile wakaanza kushangilia kwa kuruka ruka. Wanaonekana kufurahia ile ajali na vile vifo. Wale marehemu wakawa wanapitishwa kwenye machela kuingizwa kwenye gari la wagonjwa.
Walipokuwa wanaingizwa kwenye machela nikaogopa sana, nikafurukuta kujiamsha kwa lazima ili nisiendelee kuota ile ndogo.
Sijui ile ndoto ina maana gani, lakini inatisha sana