Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wameishaanza kufa kwa ajali huko Mbeya!!Hiyo ndoto yako ikitimia itakuwa bomba sana kwa sababu polisi wa nchi hii ni wakatili sana, hawana ubinadamu kabisa na ni wauaji hivyo nchi kuondokewa na viumbe kama hao ahueni kubwa sana.
Zile damu za maelfu ya Watanganyika walizomwaga lazima zilipiwe kisasiWameishaanza kufa kwa ajali huko Mbeya!!
kwenye ndoto polisi huashirikia wanaharakatiNdugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo
Nimeota gari la askari limepata ajali, wakafariki askari wengi sana. Basi watu walioshuhudia ajali ile wakaanza kushangilia kwa kuruka ruka. Wanaonekana kufurahia ile ajali na vile vifo. Wale marehemu wakawa wanapitishwa kwenye machela kuingizwa kwenye gari la wagonjwa.
Walipokuwa wanaingizwa kwenye machela nikaogopa sana, nikafurukuta kujiamsha kwa lazima ili nisiendelee kuota ile ndogo.
Sijui ile ndoto ina maana gani, lakini inatisha sana
Kwa mfano ikitokea na wewe ukiwa miongoni mwa mashuhuda, utashamgilia au utalia sana? Mfano tuNdugu zangu sipo hapa kupiga siasa au kuchochea chuki, bali ni kuleta ndoto yangu niliyoota usiku wa kuamkia leo