Nimeota Samia Suluhu Hassani analazimisha watu walale

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
Ndugu wana jamvi, hii ndoto sijui ina maana gani! Nimeota eti watu wengi tuko darasani pamoja na huyo raisi fake. Na alikuwa anawalazimisha wote waliokuwa naye darasani walale usingizi na yeye akalala usingizi mzito sana. Lakini mimi nikakataa nikatoloka kwa siri.
Hii ndoto inaweza kuwa na tafsiri nyingi tu lakini tafsiri mbili muhimu ni kama ifuatavyo
1. Samia anaweza kufa(kulala) lakini hatakubali afe peke yake. Atatamani kufa na wengi
2.Samia anatumia nguvu za kishirikina kuwapumbaza watu ili aendelee kutawala bila pingamizi lolote. Ata vyombo vya ulinzi na usalama vimepumbazwa(Kulala usingizi).
 
Hata ukishindwa kumdinya mke wako utamlalamikia mama Samia.

Watu mmekuwa wapumbavu sana
 
Maana hakuna kumbukumbu la milele la mwenye hekima, wala la mpumbavu; kwa sababu siku zijazo wote pia watakuwa wamekwisha kusahauliwa. Na mwenye hekima, jinsi gani anavyokufa sawasawa na mpumbavu!

Basi, nikauchukia uhai; kwa sababu kazi inayotendeka chini ya jua ilikuwa mbaya kwangu; yaani, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
 
Kwani binadam kufa ni ajabu nyumbu wewe?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hama hapo kwa shemeji Yako, yani dada Yako aote ndoto na wewe uote ndoto....badae mpigwe taraka wote na dada Yako

Ndugu wana jamvi, hii ndoto sijui ina maana gani! Nimeota eti watu wengi tuko darasani pamoja na huyo raisi fake. Na alikuwa anawalazimisha wote waliokuwa naye darasani walale usingizi na yeye akalala usingizi mzito sana. Lakini mimi nikakataa nikatoloka kwa siri.
Hii ndoto inaweza kuwa na tafsiri nyingi tu lakini tafsiri mbili muhimu ni kama ifuatavyo
1. Samia anaweza kufa(kulala) lakini hatakubali afe peke yake. Atatamani kufa na wengi
2.Samia anatumia nguvu za kishirikina kuwapumbaza watu ili aendelee kutawala bila pingamizi lolote. Ata vyombo vya ulinzi na usalama vimepumbazwa(Kulala usingizi).
Kifupi ni kuwa: Ana siku chache....
 
Atakufa kifo cha mateso sana huyu subiani
 
Hama hapo kwa shemeji Yako, yani dada Yako aote ndoto na wewe uote ndoto....badae mpigwe taraka wote na dada Yako
Usiku wa Leo kwa kutumia njia ninazozijua mimi nitakuotesha ndoto unakazwa na abduli na abduli nitamuotesha anamkaza mtu asiyemjua ambaye ni wewe
 
Wait the system is building the satellite assemblies....
 
Usiku wa Leo kwa kutumia njia ninazozijua mimi nitakuotesha ndoto unakazwa na abduli na abduli nitamuotesha anamkaza mtu asiyemjua ambaye ni wewe
🤣🤣🤣 Hyo nguvu ya kuota ndoto unaitoa wapi, unaijua hata bei ya mtungi wa gesi wewe au ww kazi yko ni kushusha tu kwenye boda iliyoagzwa na shemeji Yako
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom