Nimeota Samia Suluhu Hassani analazimisha watu walale

Ndugu wana jamvi, hii ndoto sijui ina maana gani! Nimeota eti watu wengi tuko darasani pamoja na huyo raisi fake. Na alikuwa anawalazimisha wote waliokuwa naye darasani walale usingizi na yeye akalala usingizi mzito sana. Lakini mimi nikakataa nikatoloka kwa siri.
Hii ndoto inaweza kuwa na tafsiri nyingi tu lakini tafsiri mbili muhimu ni kama ifuatavyo
1. Samia anaweza kufa(kulala) lakini hatakubali afe peke yake. Atatamani kufa na wengi
2.Samia anatumia nguvu za kishirikina kuwapumbaza watu ili aendelee kutawala bila pingamizi lolote. Ata vyombo vya ulinzi na usalama vimepumbazwa(Kulala usingizi).
Samia kwa sasa anateseka sana kiroho na kimwili ni vile hatuoni, lkn atawajibishwa Duniani na mbinguni kwa mauaji ya kihistoria aliyofanya dhidi ya watanganyika elfu kumi.
 
🤣🤣🤣 Hyo nguvu ya kuota ndoto unaitoa wapi, unaijua hata bei ya mtungi wa gesi wewe au ww kazi yko ni kushusha tu kwenye boda iliyoagzwa na shemeji Yako
Mwishoni mwishoni mwa hiyo njozi nitakayokuotesha usiku wa Leo kuna mda utaniona namkaza abduli,wakati huo yeye abduli nitakuwa namuotesha nakukaza wewe,usishangae sana ni mambo ya kichawi tu yanawezesha hilo.Ahsante
 
Hama kwenye hiyo nyumba ya shemeji Yako
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Jambo la muhimu ni kuwa,

Daudi ameshachaguliwa na kupakwa mafuta kwa nafasi ya Sauli.

Sasa ni lazima sauli achanganyikiwe sababu Roho wa Mungu ameondoka kwake kwenda kwa Daudi mteuliwa.
 
Ndugu wana jamvi, hii ndoto sijui ina maana gani! Nimeota eti watu wengi tuko darasani pamoja na huyo raisi fake. Na alikuwa anawalazimisha wote waliokuwa naye darasani walale usingizi na yeye akalala usingizi mzito sana. Lakini mimi nikakataa nikatoloka kwa siri.
Hii ndoto inaweza kuwa na tafsiri nyingi tu lakini tafsiri mbili muhimu ni kama ifuatavyo
1. Samia anaweza kufa(kulala) lakini hatakubali afe peke yake. Atatamani kufa na wengi
2.Samia anatumia nguvu za kishirikina kuwapumbaza watu ili aendelee kutawala bila pingamizi lolote. Ata vyombo vya ulinzi na usalama vimepumbazwa(Kulala usingizi).
Historia ya ndoto zako ikoje? Huwa zina ukweli ama maruwe ruwe tu?
 
Back
Top Bottom