Nimeota Samia Suluhu Hassani analazimisha watu walale

Samia kwa sasa anateseka sana kiroho na kimwili ni vile hatuoni, lkn atawajibishwa Duniani na mbinguni kwa mauaji ya kihistoria aliyofanya dhidi ya watanganyika elfu kumi.
 
🤣🤣🤣 Hyo nguvu ya kuota ndoto unaitoa wapi, unaijua hata bei ya mtungi wa gesi wewe au ww kazi yko ni kushusha tu kwenye boda iliyoagzwa na shemeji Yako
Mwishoni mwishoni mwa hiyo njozi nitakayokuotesha usiku wa Leo kuna mda utaniona namkaza abduli,wakati huo yeye abduli nitakuwa namuotesha nakukaza wewe,usishangae sana ni mambo ya kichawi tu yanawezesha hilo.Ahsante
 
Hama kwenye hiyo nyumba ya shemeji Yako
 
Reactions: Tui
Jambo la muhimu ni kuwa,

Daudi ameshachaguliwa na kupakwa mafuta kwa nafasi ya Sauli.

Sasa ni lazima sauli achanganyikiwe sababu Roho wa Mungu ameondoka kwake kwenda kwa Daudi mteuliwa.
 
Historia ya ndoto zako ikoje? Huwa zina ukweli ama maruwe ruwe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…