Huyo tembo alivyoanguka,nyasi hazikutoa machozi kwa kuumia?Alafu pia nimeota tembo mkubwa ameanguka nija panda na kufariki hebu nifafanulieni wajuzi wa ndoto
Kwamba atajiunga kifurushi cha wiki?Amka utaharisha
Mwezi kabisa ,,,,Kwamba atajiunga kifurushi cha wiki?