Nimeota Uhuru kaanguka vibaya

Nimeota Uhuru kaanguka vibaya

He is growing old

"People who failed to achieve something in life think social media is a popularity contest to score cheap points." ~ Mzilikazi wa Afrika
 
Sijui kama ni kweli lakini Uhuru kashindwa vibaya uchaguzi wa tarehe 8 ndio nimeota hivyo.

Uhuru ukiunganisha na kauli zake na matukio ndani ya Kenya ni wazi kuwa ndoto yangu ni kweli.

Tusuburi muda utakuwa msema kweli ingawa Mimi binafsi ningependa Uhuru ashinde uchaguzi huu ni mhimu sana .

The Kikuyu (22 percent of Kenya's population) are the largest of more than 40 ethnic groups that comprise Kenya's population. Some of the other groups include the Luhya (14 percent), Luo (13 percent), Kalenjin (12 percent), Kisii (6 percent), and the indigenous Somalis, Maasai, and Turkana.
 
Mathematically wako close sana.
Kikuyu+Kalenjin=22+12=34%
Luo+Luhya+Kamba=14+13+10= 37%

Waswahili wa Mombasa, Somali, Maasai, Turkana= Undecided(battle field)

huo ndo uchaguzi wa Kenya. Labda Ruto wa mashinani afanye kazi ya ziada kwa kupunguza 5% ya wakalejin
 
Kuota ameanguka yawezekana ndo kushinda kwake.
Maana, nakumbuka 2015 wakati wa Uchaguzi niliota Magufuli ameanguka kutoka juu akiwa anaviringika hadi chini. Lakini cha ajabu alifika Chini akiwa amesimama.
Nikajua kabisa Uchaguzi huu utakuwa mgumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team nasa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kuna jamaa yangu amechizika anaamini yeye ni Uhuru na huyu rais ana impersonate, akishalipuliza anataka kwenda Nairobi akaitizhe press conference. Bangi haijawahi kumwacha mtu salama
 
Sijui kama ni kweli lakini Uhuru kashindwa vibaya uchaguzi wa tarehe 8 ndio nimeota hivyo.

Uhuru ukiunganisha na kauli zake na matukio ndani ya Kenya ni wazi kuwa ndoto yangu ni kweli.

Tusuburi muda utakuwa msema kweli ingawa Mimi binafsi ningependa Uhuru ashinde uchaguzi huu ni mhimu sana .
Acha kula njugu usiku ili kuepukana na ndoto za mateja!
 
Sijui kama ni kweli lakini Uhuru kashindwa vibaya uchaguzi wa tarehe 8 ndio nimeota hivyo.

Uhuru ukiunganisha na kauli zake na matukio ndani ya Kenya ni wazi kuwa ndoto yangu ni kweli.

Tusuburi muda utakuwa msema kweli ingawa Mimi binafsi ningependa Uhuru ashinde uchaguzi huu ni mhimu sana .

Rudi usingizini ukamalizie hio ndoto
Atashinda
 
Back
Top Bottom