lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Shukrani mkuu, hapa aliota pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu, hapa aliota pia?
Ndio tabiri zake hizo.Zinabadilika kulingana na wakati.....Kama maisha yangeongozwa na ndoto yangekuwa mepesi sana.Shukrani mkuu, hapa aliota pia?
Sijui kama ni kweli lakini Uhuru kashindwa vibaya uchaguzi wa tarehe 8 ndio nimeota hivyo.
Uhuru ukiunganisha na kauli zake na matukio ndani ya Kenya ni wazi kuwa ndoto yangu ni kweli.
Tusuburi muda utakuwa msema kweli ingawa Mimi binafsi ningependa Uhuru ashinde uchaguzi huu ni mhimu sana .
Ha ha ha aaa ! Safari hii kaja kivingine....anauma na kupuliza!
Maisha yangeongozwa na ndoto, pasingekuwepo na haja ya jitihada.Ha ha ha aaa ! Safari hii kaja kivingine....anauma na kupuliza!
Acha kula njugu usiku ili kuepukana na ndoto za mateja!Sijui kama ni kweli lakini Uhuru kashindwa vibaya uchaguzi wa tarehe 8 ndio nimeota hivyo.
Uhuru ukiunganisha na kauli zake na matukio ndani ya Kenya ni wazi kuwa ndoto yangu ni kweli.
Tusuburi muda utakuwa msema kweli ingawa Mimi binafsi ningependa Uhuru ashinde uchaguzi huu ni mhimu sana .
Mkuu.... hizo ndo sampuli za watu wanaokuzunguka? SadKuna jamaa yangu amechizika anaamini yeye ni Uhuru na Huyu rais ana impersonate, akishalipuliza anataka kwenda Nairobi akaitizhe press conference. Bangi haijawahi kumwacha mtu salama