Nimeota Yanga kachapwa goli 2 kavu na mwarabu. Natetemeka muda huu

Nimeota Yanga kachapwa goli 2 kavu na mwarabu. Natetemeka muda huu

Yes! Dube na Ki Hawtakiwi fanya makosa leo...
Every chance they get must be well utilized
 
Bado masaa machache utarudi hapa kuomba radhi.
Nitakuja kuomba radhi kwa lipi? Wewe ndiyo ujiandae mapema kuingia mitini, baada ya hii ndoto yako ya mchana kubuma.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom