Nimeoteshwa Baraza la Mawiziri linaenda kufanyiwa mabadiliko kabla 2022 haijaisha

Kwa sasa, mabadiliko yoyote yale, bila ya katiba mpya, ni kupoteza tu muda. Matatizo makubwa ya nchi hii ni ya kimfumo. Huwezi kuyamaliza kwa kubadilisha sura za watu.
 
Hiyo imekwishaeleweka, Mwigulu, Nape na January hawatagusws licha ya baadhi ya watu kutaka sana waondolewe kwenye baraza.
Hao wasipodhibitiwa na kufurushwa, watamtimua mama wa Kambo wauze shamba wagawane Ili wakale Bata huko ughaibuni.

Watoto waasi wameungana na wajomba wenye Nia mbaya kuhakikisha shamba linauzwa.

Uliona wapi nyumba iliyofitinika IKASIMAMA???
 
I have lost complete faith in this administration.

Nachosubiri na kuomba Mungu wamalize tu muda wao waende.

Kama kuna lolote la maana unasubiri toka kwao sahau. Fanya mambo yako tu.
Mabadiliko pekee yatakayoleta mabadiliko halisi na ya kweli ni KATIBA MPYA. Mengine yote ni usanii, ni kubadilisha rangi, lakini pagale ni lile lile.
 
Mabadiliko pekee yatakayoleta mabadiliko halisi na ya kweli ni KATIBA MPYA. Mengine yote ni usanii, ni kubadilisha rangi, lakini pagale ni lile lile.
KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ndo Tumaini Kwa watz Kutoka ktk vifungo.
 
lipangulie au lisipanguliwe utafaidika na nini??
 
Trab na trat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…