Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wasipodhibitiwa na kufurushwa, watamtimua mama wa Kambo wauze shamba wagawane Ili wakale Bata huko ughaibuni.Hiyo imekwishaeleweka, Mwigulu, Nape na January hawatagusws licha ya baadhi ya watu kutaka sana waondolewe kwenye baraza.
Mabadiliko pekee yatakayoleta mabadiliko halisi na ya kweli ni KATIBA MPYA. Mengine yote ni usanii, ni kubadilisha rangi, lakini pagale ni lile lile.I have lost complete faith in this administration.
Nachosubiri na kuomba Mungu wamalize tu muda wao waende.
Kama kuna lolote la maana unasubiri toka kwao sahau. Fanya mambo yako tu.
KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ndo Tumaini Kwa watz Kutoka ktk vifungo.Mabadiliko pekee yatakayoleta mabadiliko halisi na ya kweli ni KATIBA MPYA. Mengine yote ni usanii, ni kubadilisha rangi, lakini pagale ni lile lile.
Kweli inawezekana kuna jambo litatokea ingawa hatuwezi kusema ni maono coz huwa maono jambo linaokea kinyume na matarajio au jambo ambalo watu hawakutarajia litatokeaKwani maharage ya ukweni anasemaje?
Kuna ishara kwamba kuna jambo linaweza kutokea lakini haya sio maono wala utabiri coz inahusisha taarifa za kiintelejensia na tetesiNatamani pia kupata neno la maharage ya ukweni
Umemiss kufumuliwa rinda?Na mbususu yako naimisi sana
lipangulie au lisipanguliwe utafaidika na nini??Hatimae Ile hali tarajiwa miongoni wa wananchi na wapenzi wa siasa na maendeleo, baada ya kimya kirefu na subra kubwa, maombi, hamasa, matarajio, kiu yao, ya kuona witikio wa wito na utekelezaji wako, ngoja ngoja imelamba Chali na chereko chereko na simanzi zina taradadi.
Mvua za vuli kama zinavyochelewa na kutarajiwa kunyesha Kwa kishindo kikubwa.
Nimeoteshwa mamlaka inaenda kufanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kabla mwaka huu haujaisha, ilitarajiwa sana ndani ya mwezi huu hayo Mabadiliko ambayo yakafanywa kuchagizwa na Precious Saga.
Ndoto hii inaenda kutimia soon piga ua Baraza linaenda kupanguliwa any time soon.
I hayo machache ubishi na kupinga ni vipaji pia. Anaebisha shukrani.
The truth loading...
Trab na tratHatimae Ile hali tarajiwa miongoni wa wananchi na wapenzi wa siasa na maendeleo, baada ya kimya kirefu na subra kubwa, maombi, hamasa, matarajio, kiu yao, ya kuona witikio wa wito na utekelezaji wako, ngoja ngoja imelamba Chali na chereko chereko na simanzi zina taradadi.
Mvua za vuli kama zinavyochelewa na kutarajiwa kunyesha Kwa kishindo kikubwa.
Nimeoteshwa mamlaka inaenda kufanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kabla mwaka huu haujaisha, ilitarajiwa sana ndani ya mwezi huu hayo Mabadiliko ambayo yakafanywa kuchagizwa na Precious Saga.
Ndoto hii inaenda kutimia soon piga ua Baraza linaenda kupanguliwa any time soon.
I hayo machache ubishi na kupinga ni vipaji pia. Anaebisha shukrani.
The truth loading...