Nimeoteshwa Baraza la Mawiziri linaenda kufanyiwa mabadiliko kabla 2022 haijaisha

Nimeoteshwa Baraza la Mawiziri linaenda kufanyiwa mabadiliko kabla 2022 haijaisha

Hatutaki ya royal tour, Egypt, cop27, sijuwi upuuzi gani huko.
TWATAKA MAJI, UMEME, MIUNDO MBINU, HUDUMA ZA AFYA, ELIMU BORA, SIASA SAFI, UONGOZI BORA NA UWAJIBIKAJI..Period....
 
Mwambieni aache hivyo hivyo asibadilishe ila abadilishe sheria kwamba kuwa Waziri siyo lazima uwe Mbunge kama Kenya.Hapo atapata watu wa kumsaidia lakini kwa Bunge lile lililojaa Mbogamboga kuna wenye akili mule sasa!
 
Kama pm akibaki!

Ni rasmi kuwa 0101 onyo walilotoa kupitia voicer limefanyiwa KAZI!

Mungu ibariki Tanzania nchi yangu niipendayo
 
Hatimae Ile hali tarajiwa miongoni wa wananchi na wapenzi wa siasa na maendeleo, baada ya kimya kirefu na subra kubwa, maombi, hamasa, matarajio, kiu yao, ya kuona witikio wa wito na utekelezaji wako, ngoja ngoja imelamba Chali na chereko chereko na simanzi zina taradadi.

Mvua za vuli kama zinavyochelewa na kutarajiwa kunyesha Kwa kishindo kikubwa.

Nimeoteshwa mamlaka inaenda kufanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kabla mwaka huu haujaisha, ilitarajiwa sana ndani ya mwezi huu hayo Mabadiliko ambayo yakafanywa kuchagizwa na Precious Saga.

Ndoto hii inaenda kutimia soon piga ua Baraza linaenda kupanguliwa any time soon.

I hayo machache ubishi na kupinga ni vipaji pia. Anaebisha shukrani.

The truth loading...
Joined Nov 10 2022.

Asante Kwa taarifa.
 
Kwl yalitikisa mfano akina Mramba and co.na walikuwa wezi kwerkwer
Mabaraza yalikuwa yanaundwa na kina Ben bythen yalitikisa Nchi sofar wanabadili manaibu tu hii ngoma kwa sasa inatakiwa mama aanze na mzee wa super bkack, nishati, katiba na sheria, mambo ya ndani,kilimo then kidogo mambo yatakuwa mswano
 
Ndoto Yako juu ya mabadiliko BARAZA la mawaziri inatoa Uhakika kuwa MAJA hatoguswa.

Tungekuwa wendawazimu, Eti Maja aondoshwe Ili KAMBA,pena, Riz na mwigu wawe promoted!!!!!
 
Idara imeingia kazini,

Ile movie ya kumzuia mkt asimpitishe Maembe ilikuwa VITA Hasa.

Tangu hapo, nawaheshimu sana hao jamaa.
Ina Maana Tabasamu alitaka maembe yakaliwe kitalani kweli!!?

Mi nilidhani ilikuwa zuga ziibuke timu mbili ILI iwe Rahisi kupitisha chuma cha mjerumani!!!
 
Serikali haina muunganiko kabisa ukiangalia kwenye swala la maji na vyanzo vyake... Chukulia makundi ya ng'ombe yanayozunguka kutafuta malisho na kuharibu misitu na vyanzo vya maji..

Hawa wanawezaje kutoa mifugo mkoa mmoja kwenda mwingine bila ruhusa yoyote?? Wizara ya Mazingira kwanini hawachukui hatua ? Wizara ya Mifugo Inakuwa wapi? Wizara ya Maliasili na Utalii wanapita vipi kwenye mbuga na misitu yenu? Wizara za tawala za Mikoa ?? Wizara ya mambo ya Ndani movement ya mifugo na watu ni swala la kiusalama hili vipi mkae kimya?
Haya mikoa wanayopita kuna wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya , wote hawa hawajui wakati haya makundi yanapita?

Kuna tawala hapo wanakula hela na kupokea fedha chafu za hawa wenye ng'ombe...... Na ndio matokeo ya haya tunayoyaona ya kukosa maji, ukame na madhila andamishi nayo...

Sasa hilo baraza la mawaziri huwa wanaongea nini ? kama masuala kama haya hawahusiki nayo.. Hata ofisi ya waziri Mkuu, kwanini hawawajibishi mawaziri waliyo chini yake ??? Au mfumo wa mimi naye ni mteule wa raisi?? Kuna shida mahali... Hawa mawaziri wawajibishwe basi na bunge ... AU ndio bunge la chama kimoja..

Kumbe hitimisho la haya yote ni KATIBA YA WANANCHI, wanatuchosha na hoja nyingi, kumbe hawawezi kusimamiana ni wale wale wamoja..
 
Wataumia sana wanachotaka sio awamu hii, hadi next summer not now. PM aende wapi kwa kosa lipi. Vitengo nyeti havikubaliani na manyani wa kutaka PM aondoke aende wapi, Kwa kosa lipi? .KMM yupo yupo sanaaa.
Wataumia Sana wanachotaka sio awamu hii,hadi next summer not now!!!?

Ina Maana next summer ndio watakipata wanachotaka cha pm kuondolewa na sio awamu hii!?

Ina Maana next summer tutakuwa na awamu nyingine na sio awamu hii!?

Ina Maana pm Lazima amalizie awamu hii itakayoisha next summer ndipo apatikane Mwingine!!?

I stand to be corrected!!!
 
Sa100 atafurukuta awezavyo ila hawa watu kamwe hawezi watoa kwenye baraza la mawaziri hata wavurunde vipi..hao wapo kwa kazi maalumu.

Nyape
Liz1
Marope.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sa100 atafurukuta awezavyo ila hawa watu kamwe hawezi watoa kwenye baraza la mawaziri hata wavurunde vipi..hao wapo kwa kazi maalumu.

Nyape
Liz1
Marope.

#MaendeleoHayanaChama
Bt sie Bado tunawaombea mabaya wasitoboe December.
 
Umeoteshwa ? [emoji23]
Nadhani ni lugha tu mleta mada ameamua kuitumia ili kusiwe na maswali mengi. Kwa alivyoleta taarifa hii kwa kujiamini, bila shaka siyo ndoto bali ana vyanzo vyake vya taarifa asivyotaka kuviweka wazi.

Tunashukuru kwa taarifa, ngoje tujipe muda.
 
Sitaki kusema mengi jua ni Baraza la Mawaziri, ni katika ukubwa gani au udogo gani na itawagusa nani na nani tuache malaika waamue.

Kuna baadhi hawataguswa na wapo hamtafurahi wasipoguswa na maisha ndio haya haya aliepewa kapewa asietaka aende Cuba.
Hiyo imekwishaeleweka, Mwigulu, Nape na January hawatagusws licha ya baadhi ya watu kutaka sana waondolewe kwenye baraza.
 
Back
Top Bottom