Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joined Nov 10 2022.Hatimae Ile hali tarajiwa miongoni wa wananchi na wapenzi wa siasa na maendeleo, baada ya kimya kirefu na subra kubwa, maombi, hamasa, matarajio, kiu yao, ya kuona witikio wa wito na utekelezaji wako, ngoja ngoja imelamba Chali na chereko chereko na simanzi zina taradadi.
Mvua za vuli kama zinavyochelewa na kutarajiwa kunyesha Kwa kishindo kikubwa.
Nimeoteshwa mamlaka inaenda kufanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kabla mwaka huu haujaisha, ilitarajiwa sana ndani ya mwezi huu hayo Mabadiliko ambayo yakafanywa kuchagizwa na Precious Saga.
Ndoto hii inaenda kutimia soon piga ua Baraza linaenda kupanguliwa any time soon.
I hayo machache ubishi na kupinga ni vipaji pia. Anaebisha shukrani.
The truth loading...
Mabaraza yalikuwa yanaundwa na kina Ben bythen yalitikisa Nchi sofar wanabadili manaibu tu hii ngoma kwa sasa inatakiwa mama aanze na mzee wa super bkack, nishati, katiba na sheria, mambo ya ndani,kilimo then kidogo mambo yatakuwa mswano
New ids kibao kuelekea 2023,ni maandalizi ya spinning au vita vya madaraka kuelekea 2025!!?Joined Nov 10 2022.
Asante Kwa taarifa.
Idara imeingia kazini,New ids kibao kuelekea 2023,ni maandalizi ya spinning au vita vya madaraka kuelekea 2025!!?
Ina Maana Tabasamu alitaka maembe yakaliwe kitalani kweli!!?Idara imeingia kazini,
Ile movie ya kumzuia mkt asimpitishe Maembe ilikuwa VITA Hasa.
Tangu hapo, nawaheshimu sana hao jamaa.
Haikuwa zuga, mswahili alidhamiria, Hadi sasa Bado ana ndoto hiyo.Ina Maana Tabasamu alitaka maembe yakaliwe kitalani kweli!!?
Mi nilidhani ilikuwa zuga ziibuke timu mbili ILI iwe Rahisi kupitisha chuma cha mjerumani!!!
Wataumia Sana wanachotaka sio awamu hii,hadi next summer not now!!!?Wataumia sana wanachotaka sio awamu hii, hadi next summer not now. PM aende wapi kwa kosa lipi. Vitengo nyeti havikubaliani na manyani wa kutaka PM aondoke aende wapi, Kwa kosa lipi? .KMM yupo yupo sanaaa.
VOICER alivujisha mpango wao ovu wa "Kupasua katelephone" maana mjomba kamshindwa kumtoa Kwa HILA.Kama pm akibaki!
Ni rasmi kuwa 0101 onyo walilotoa kupitia voicer limefanyiwa KAZI!
Mungu ibariki Tanzania nchi yangu niipendayo
Bt sie Bado tunawaombea mabaya wasitoboe December.Sa100 atafurukuta awezavyo ila hawa watu kamwe hawezi watoa kwenye baraza la mawaziri hata wavurunde vipi..hao wapo kwa kazi maalumu.
Nyape
Liz1
Marope.
#MaendeleoHayanaChama
Nadhani ni lugha tu mleta mada ameamua kuitumia ili kusiwe na maswali mengi. Kwa alivyoleta taarifa hii kwa kujiamini, bila shaka siyo ndoto bali ana vyanzo vyake vya taarifa asivyotaka kuviweka wazi.Umeoteshwa ? [emoji23]
Hiyo imekwishaeleweka, Mwigulu, Nape na January hawatagusws licha ya baadhi ya watu kutaka sana waondolewe kwenye baraza.Sitaki kusema mengi jua ni Baraza la Mawaziri, ni katika ukubwa gani au udogo gani na itawagusa nani na nani tuache malaika waamue.
Kuna baadhi hawataguswa na wapo hamtafurahi wasipoguswa na maisha ndio haya haya aliepewa kapewa asietaka aende Cuba.