Alikuwa ni Active huyonilimuangalia nikatafakari sana.
huyu atakuwa nani?
nilishindwa kupata majibu ya haraka.
ukipata nafasi uje kunitembelea dada ako huku rorya nikufundishe kula kamongo sawa eehhahaha
Hivi ni German au Germany?basi mod watoe ilo neno German kama limekukera
ametoka Germany anashindwa kukodi tax kweliππππKulikuwa na umuhimu gani kusema umetoka German ikiwa Main Subject ni kuona mwanaJF akiperuse
Ulikua unazungumzia nchi au?hio hio
Hakuna mnyama wa aina hiyo.Farasi